Mkuu unaweza ukatuambia Bongo nani aliyezungumziwa kwa hearsay halafu ikaja kujulikana ni uongo kati ya hivyo vitu ulivyosema NGWENGWE ,MUUZA NGADA ,GASHO(NGAPULILA)? Freemason au uchawi ni imani hauwezi kuithibitisha hivyo tuachane navyo nazungumzia hivyo vitu TANGIBLE(Ngwengwe ,muuza ngada,Ngapulila).
Ukiona mtu anaambiwa kati ya hivyo vitu vitatu(Ngwengwe ,muuza ngada,ngapu) basi kuna mtu ambaye yupo close na hao watu ndiyo wanalikisha ,nakumbuka kuna mtangazaji flani alishatangulia mbele za haki ,miaka ya nyuma kabla jina alijawa kubwa wakati yupo wa moto na alikuwa chapachapa sana ,kuna kipindi akakanyaga waya wa madaktari wakampigisha shoti ,wakaachia File lake kama ana ngwengwe aliipata miaka ya 2006-2008.
Kuna msanii na yeye ,anaonesha ana maisha mazuri ,mziki hafanyi sana kwasasa ila ana hits nyingi,moja ya interview yake na BDozen Selection alisema ana kampuni yake ya matangazo ambayo inafanya kazi na iliyokuwa HSC,tetesi kwamba jamaa anapumuliwa na 001 ,na pia jamaa hajawahi kuwa na Demu ,anapush Gwagon.
Kuna jamaa tena alishwahi kuwa Mbunge wa jimbo moja la wala chips sana ,nyumba yake ipo kona ya kwenda kwa Bi Sandra alipokulia Dayamondi ,tetesi nyingi kwamba jamaa ni supplier wa Bwimbwi ,wewe unafikiri nani anayelikisha kama siyo Punda wake? Kama kusingiziwa kwanini asisingiziwe wajina wake "SABUFA"?