Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
karogwa na utumiaji wa madawa ya kulevya,sikuhiz watanzania hawataki uimbe ushike surual kwa mbele,diamond kaja na changamoto mpya so wanatakiwa wabadilike ni si kusema karogwa karogwa,qchief alishawah kuwa na bendi ila kutokana na ubinfsi wake ikamfia mikononi,mbona mwenzao banana huyu 2 na anapambana na mambo yake husikii karogwa au chochote,sikuhiz ni kuimba na kudance ndio mpango mzima
wakate mauno tu hatushoboki,siku hizi mc(mic controler),freestyles(mitindo huru),punchlines(mistari konde),graphics(michoro),basketbal(mpira wa kikapu) ndo mpango