Kuna nini kati ya q-chief na diamond?

Kuna nini kati ya q-chief na diamond?

karogwa na utumiaji wa madawa ya kulevya,sikuhiz watanzania hawataki uimbe ushike surual kwa mbele,diamond kaja na changamoto mpya so wanatakiwa wabadilike ni si kusema karogwa karogwa,qchief alishawah kuwa na bendi ila kutokana na ubinfsi wake ikamfia mikononi,mbona mwenzao banana huyu 2 na anapambana na mambo yake husikii karogwa au chochote,sikuhiz ni kuimba na kudance ndio mpango mzima

wakate mauno tu hatushoboki,siku hizi mc(mic controler),freestyles(mitindo huru),punchlines(mistari konde),graphics(michoro),basketbal(mpira wa kikapu) ndo mpango
 
Chillah ni chillah kidiamond kitabaki kuwa domo tu
 
Uyo kasha bumaa sikunyingi anatafuta pakutokea . Kah mtu ukifulia bna dah.

Naungana nawe mkuu, kafulia. Kuna wakati alikiri kuchakazwa na macocaine.so mchawi ni maunga aliyokuwa anayabwia na si diamond kama anavyodai.:yo::yo:
 
q-chief ni bangi inamsumbua he is suffering from withdrawal ndio maana anaona kila mtu aliye juu anamzibia nafasi yake
Dayamondi nae ngono itamuua wengi waliojaribu kumaliza wanawake wote wa mjini mwisho wao haukuwa mzuri take care dayamondi
alaf qchief aendelee kuimba taarabu na mchiriku inaweza msaidia hapa mjini for the time being.
 
Back
Top Bottom