Aina zoteKwani ni karanga mbichi au zilizokaangwa?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aina zoteKwani ni karanga mbichi au zilizokaangwa?!
....aaaaah hii bold hii sidhani kama unamaanisha karanga!!!Aina zote
Zikiuzwa madukani jekuna uhitaji mkubwa sana wa hizo karanga mtaani
hasa mida ya jioni ,
daah ubunifu 100%Lazima muuziwe karanga ili mpatee nguvu za kununua kule kwingine, waneona wateja wa kule wamepungua wakagundua shida ni vichupa havijai. So ni kukamata fursa mbili katika changamoto moja.
HatununuiZikiuzwa madukani je
watu muna jeuri sanaHatununui
Waje mtaaniwatu muna jeuri sana
Swali lako ndio majibu yenyeweAMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA.
Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko.
Hivi karibuni kumeibuka kundi kubwa sana la akina dada warembo ambao wanazunguka mtaani hasa majira ya Jioni wanatembeza karanga.
Kwenye mtaa mmoja unaweza kuwakuta wapo hata watano. Mtaa ambao nimewaona sana ni salasala, Mbezi Beach, goba na mbezi ya kimara(ndio nimeishi huko).
Uuzaji wao inaweza isiwe shida sana ila shida kubwa zaidi ni mavazi wanayovaa, wanavaa kama wale wahudumu wa Bara.
Swali langu lipo hapa je shida nini wameongezeka sana? ni ugumu wa maisha, au wamjitambua na kuamua kujiajiri, au kuna uhitaji mkubwa sana wa hizo karanga mtaani, au ni fursa mpya? au kuna nini cha zaidi
Mwenye majibu zaidi atujuze
Biashara ya karanga nadhani huhitaji mtaji mkubwaAMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA.
Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko.
Hivi karibuni kumeibuka kundi kubwa sana la akina dada warembo ambao wanazunguka mtaani hasa majira ya Jioni wanatembeza karanga.
Kwenye mtaa mmoja unaweza kuwakuta wapo hata watano. Mtaa ambao nimewaona sana ni salasala, Mbezi Beach, goba na mbezi ya kimara(ndio nimeishi huko).
Uuzaji wao inaweza isiwe shida sana ila shida kubwa zaidi ni mavazi wanayovaa, wanavaa kama wale wahudumu wa Bara.
Swali langu lipo hapa je shida nini wameongezeka sana? ni ugumu wa maisha, au wamjitambua na kuamua kujiajiri, au kuna uhitaji mkubwa sana wa hizo karanga mtaani, au ni fursa mpya? au kuna nini cha zaidi
Mwenye majibu zaidi atujuze
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA.

Bila kapicha ni uongo tu kama Mama anayeupiga mwingi.....AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA.
Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko.
Hivi karibuni kumeibuka kundi kubwa sana la akina dada warembo ambao wanazunguka mtaani hasa majira ya Jioni wanatembeza karanga.
Kwenye mtaa mmoja unaweza kuwakuta wapo hata watano. Mtaa ambao nimewaona sana ni salasala, Mbezi Beach, goba na mbezi ya kimara(ndio nimeishi huko).
Uuzaji wao inaweza isiwe shida sana ila shida kubwa zaidi ni mavazi wanayovaa, wanavaa kama wale wahudumu wa Bara.
Swali langu lipo hapa je shida nini wameongezeka sana? ni ugumu wa maisha, au wamjitambua na kuamua kujiajiri, au kuna uhitaji mkubwa sana wa hizo karanga mtaani, au ni fursa mpya? au kuna nini cha zaidi
Mwenye majibu zaidi atujuze
Zozote zile ..unanunua karanga na muuzaji jumlajumla asiendelee kuzunguka ..... Halafu mnakula pamoja.... mkimaliza kula karanga ....mnakulana ......Kwani ni karanga mbichi au zilizokaangwa?!
Hao uliowatolea mfano ni CERTIFIED NYAPU SUPPLIERS....Kuna mambo matatu kama si manne ndani yako:
JIFUNZE HIVI.
- Kuuza karanga ni kwa wanaume Tu.
- Wauza karanga wawe wakibosho na Waha na wawe wachafu.
- Wauza karanga wawe wachafu, nuka kikwapa, wanaoingia choo cha jiji na kapu la karanga.
- Wawe wanajifuta jasho na mkono wanaotumia kukupimia karanga.
- Wanawake wamekataa kuwa magolikipa, sasa nasi tunataka kulea familia.
- Single mother kama akina Hamisa Mabeto, Zari, Giggy Money, na wengine wakilala nani atalisha familia zao?