Kuna nini kimejificha nyuma ya hawa warembo wanaouza karanga mtaani?

Lazima muuziwe karanga ili mpatee nguvu za kununua kule kwingine, waneona wateja wa kule wamepungua wakagundua shida ni vichupa havijai. So ni kukamata fursa mbili katika changamoto moja.
 
Swali lako ndio majibu yenyewe
 
Biashara ya karanga nadhani huhitaji mtaji mkubwa
 
Kuna mambo matatu kama si manne ndani yako:
  1. Kuuza karanga ni kwa wanaume Tu.​
  2. Wauza karanga wawe wakibosho na Waha na wawe wachafu.​
  3. Wauza karanga wawe wachafu, wanuka kikwapa, wanaoingia choo cha jiji na kapu la karanga.​
  4. Wawe wanajifuta jasho na mkono wanaotumia kukupimia karanga.​
JIFUNZE HIVI.
  1. Wanawake wamekataa kuwa magolikipa, sasa nasi tunataka kulea familia.​
  2. Single mother kama akina Shilole, Hamisa Mabeto, Zari, Giggy Money, Christina Shushu, Blandina Chengula na wengine wakilala nani atalisha familia zao?​
 
Bila kapicha ni uongo tu kama Mama anayeupiga mwingi.....
 
Hao uliowatolea mfano ni CERTIFIED NYAPU SUPPLIERS....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…