Kuna nini kwenye kifo, Je ukifa unaenda wapi?

Kuna nini kwenye kifo, Je ukifa unaenda wapi?

unaamini blindly
toa ushahidi kuwa yesu alikuwepo hapa duniani
Hahaha unachekesha sana buloo huwa unasherehekea christmas?pasaka?huo ni ushahidi tosha,pili unadhani ukristo umetokea wapi maana christianity comes from the word christ anyway andaa mada nipige shule ya kufa mtu
 
upuuzi,yesu harudi sababu hajawahi kwenda popote
ni utunzi wa wazungu tu,hivi kwa nini hamuelewi!!!!!!

even if we assume he existed,he was a famous liar too
mathew 16:28
"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom."
Hii dhana inanikunbusha miaka mingi nyuma nikiwa mtoto. Kulikuwa na wimbi la mihadhara hapa dar wale biblia in jibu na vikundi vingi vya kiislam. I was fond of mihadhara nulikuwa naifata umbali mrefu sana kusikiliza hoja, aya, ufundi nk. The biggest mistakes waliokuwa wanaifanya ni hii, kutumia baadhi ya mistari au maneno ktk kitabu wasichokiamini. Inakuwa hivi ukishatoa huo labda ufafanuzi wake huujui au unapatikana ktk nstari wingine ambao unaichalange imani yako unakuwa tayari uko ktk mtego
 
Baada ya kifo not hukumu" huwa abahukumiwa nani sasa kama unabaki mavumbini npka Yesu arudi?
Haina maana kuwa wafu baada kifo chao wanaingia kwenye hukumu laa maana wafu maandiko yanasema wafu hawajui neno lolote

Isipokuwa baada ya mtu kufa siku ya kufufuka kwake habari atakayokutana nayo ni hukumu tu maana kila case yake itakuwa imeshamriwa
 
Hahaha unachekesha sana buloo huwa unasherehekea christmas?pasaka?huo ni ushahidi tosha,pili unadhani ukristo umetokea wapi maana christianity comes from the word christ anyway andaa mada nipige shule ya kufa mtu
unipige shule wewe au mimi nikupe shule wewe
unajua chimbuko la christmas wewe?
unaijua origin ya pasaka?
neno christ limetokana na neno la kigiriki christus/christo
 
Hii dhana inanikunbusha miaka mingi nyuma nikiwa mtoto. Kulikuwa na wimbi la mihadhara hapa dar wale biblia in jibu na vikundi vingi vya kiislam. I was fond of mihadhara nulikuwa naifata umbali mrefu sana kusikiliza hoja, aya, ufundi nk. The biggest mistakes waliokuwa wanaifanya ni hii, kutumia baadhi ya mistari au maneno ktk kitabu wasichokiamini. Inakuwa hivi ukishatoa huo labda ufafanuzi wake huujui au unapatikana ktk nstari wingine ambao unaichalange imani yako unakuwa tayari uko ktk mtego
labda nikukumbushe kuwa mimi nilibatizwa
 
unipige shule wewe au mimi nikupe shule wewe
unajua chimbuko la christmas wewe?
unaijua origin ya pasaka?
neno christ limetokana na neno la kigiriki christus/christo
Tatizo unajifanya mjuaji while you know nothing andaa mjadala you and me nitakupiga tko mapema tu
 
unipige shule wewe au mimi nikupe shule wewe
unajua chimbuko la christmas wewe?
unaijua origin ya pasaka?
neno christ limetokana na neno la kigiriki christus/christo
Yote hayo nayajua kuliko unavyodhani najua utaleta mastory ya kina tamuz nk
 
Tatizo unajifanya mjuaji while you know nothing andaa mjadala you and me nitakupiga tko mapema tu
katika haya mambo kuweka mjadala na wewe ni sawa na kunitukana
go find your equals,you are not on my level
 
Si kweli kwamba Kila chenye uhai kitakufa, Kuna wale watakaosalia siku ya mwisho wa dunia
 
Kuna maswali mengi sana wanadamu tunajiuliza mengine yana majibu na mengine yanakosa majibu sana sana maswali yale ya kiimani zaidi.

KIFO _Kuna maandiko yanasema kila kilicho na Uhai basi siku zake za kuishi zinaesabika hapo haijarishi ni binadamu,Mmea au mnyama basi chochote chenye uhai ni lazima kife na hapo ndio tunapata neno kifo.

Kifo kililetwa na nani? Na kwa nini kuna kifo? na baada ya kifo kile kilichokufa kinaenda wapi? kuna siri gani kwenye kifo?

Hayo ni baadhi ya maswali ambayo ukiuliza baadhi ya wanazuoni kila mmoja atakupa jibu lake hii ina maana hakuna jibu la moja kwa moja kuhusu kifo,

Lakini leo tujadili Swali hili ,

Je Ukifa unaenda wapi?

Ukija kwenye imani za dini wanasema kinachokufa ni mwili lakini Roho inabaki hai na hiyo uchukuliwa mpaka mbinguni ambako kuna hukumu kama ulitenda mema basi Roho yako itaingia kwenye Raha ya milele ila kama ulitenda Dhambi Roho yako itatupwa Motoni.

Lakini pia ukija kwenye upande wa wale wasio na imani watakujibu kwamba kifo hakitenganishi Mwili na Roho bali ukifa Umekufa hakuna kingine kinachoendelea juu yako.

Kutokana na majibu hayo hapo juu hauwezi kujua yupi yuko sahihi kwa sababu hakuna ithibati iliyowahi kusibitisha kwamba kuna maisha mengine baada ya kifo.

Nami nisiwakatishe Tamaa au kuwaingiza uoga mioyoni mwenu ila Kifo hakina budi kuheshimiwa kwa sababu kila aliye na uhai ni lazima atakufa tu.

Ukitaka kujua ukifa unaenda wapi basi jaribu kufikiria kabla ya kuzaliwa kwako wewe ulikuwa wapi?

Na ndivyo hivyo Kifo kitakavyokuwa baada ya kifo Chako.

_Jf Mtawangu.
Kufa ni km siku ambayo ulilala usingizi mzito sana bila kujitambua, sasa badala ya kuamka unakuwa ntolee hiyo, km hukuogopa wakati umelala basi huwez kuhisi chochote ukishakufa
 
Duh sema mtoa mada hapo ungefanya kwanza ujue nini mahana ya kufa nafkili ilo lingekupa tu mwangaza kwamahana aya mambo yako Kiimani sana kwaiyo ukitaka kupata jibu utakavywo wewe utajipeleka kwenye kufuru
 
Back
Top Bottom