Insidious
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 749
- 1,023
Wakuu kwema?
Nina swali la kwamba; kwanini baadhi ya vyuo vimehairisha mahafali (graduation)mpaka 2026 kwa wanafunzi wote undergraduate na postgraduate na wamemaliza masomo mwaka huu 2025?
Mfano ni kama ifuatavyo;
a)chuo cha diplomasia (Centre for Foreign Relations) graduation imesogezwa mbele hadi tarehe 06/01/2026 - wamesema kwamba ni sababu zilizo nje ya uwezo wao
b)Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) graduation imesogezwa mbele hadi tarehe 06/02/2026- chuo hichi hakijatoa taarifa yeyote zaidi ya kupost picha instagram na kufunga comments.
Je ni fair kwa wanaotegemea vyeti kwa ajili ya promotion? Au kwa wanaotafuta kazi ama internship kwa kipindi hiki?