Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Sema haki ya munguMWENZIO YUKO BIZE NA MADAWA,CLOUDS WASHAMTUMIA WAMEMTUPA
Anakulaa pensheeeeeniiii yakeee
Hawara yako alisema kamaliza tatizo la madawa ya kulevyaKama ni ngada kweli
Basi kuna tatizo mahala.. ahojiwe na kitengo.
hujui wewe ..Mmmh kama n ngada kweli basi balaaa
HV unaanzaje kula ngada wkt unamuona kabisa vile child Benz na teroozbwalivyoo
Achilia t.I.d ambae kabaki fuvu tuu
Bora nijiyweee mabalimi na castre lager tuu
Baada ya kusumbua na hits kali kama
(i) Kama Utanipenda
(ii) Too Much
(iii) Muziki
(iv) Hasara roho
kwanini Darasa amekaa kimya kwa muda mrefu?
View attachment 697033
Si washa mnyonya mpk kaisha sasaBaada ya kusumbua na hits kali kama
(i) Kama Utanipenda
(ii) Too Much
(iii) Muziki
(iv) Hasara roho
kwanini Darasa amekaa kimya kwa muda mrefu?
View attachment 697033
Hakuna kitu kama hicho kilichofanyika ni hao wauza ngada kushuka chini serikali kupanda juu ili kuonyesha hadhi ya serikali ila unga bado unapigwa' Powder ' siku hizi imedhibitiwa sana Mkuu. Naomba niishie hapa tafadhali.