Kuna nini; Mbona Darasa yupo kimya sana?

Kuna nini; Mbona Darasa yupo kimya sana?

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
938
Reaction score
1,150
Baada ya kusumbua na hits kali kama
(i) Kama Utanipenda
(ii) Too Much
(iii) Muziki
(iv) Hasara roho
kwanini Darasa amekaa kimya kwa muda mrefu?
darassa.jpg
 
MWENZIO YUKO BIZE NA MADAWA,CLOUDS WASHAMTUMIA WAMEMTUPA
 
Anakulaa pensheeeeeniiii yakeee
 
Anaumiza kichwa hesabu hazikai sawa, ile kwenye book keeping tunayoita "balance sheet"...inagoma kubalance.
 
Mmmh kama n ngada kweli basi balaaa


HV unaanzaje kula ngada wkt unamuona kabisa vile child Benz na teroozbwalivyoo

Achilia t.I.d ambae kabaki fuvu tuu

Bora nijiyweee mabalimi na castre lager tuu
 
Mmmh kama n ngada kweli basi balaaa


HV unaanzaje kula ngada wkt unamuona kabisa vile child Benz na teroozbwalivyoo

Achilia t.I.d ambae kabaki fuvu tuu

Bora nijiyweee mabalimi na castre lager tuu
hujui wewe ..
chanzo cha hao kula ngada sio kama wanapnda ..huwa wanaanza kula ngada baada ya kuwa mapunda ..sasa ukiwa punda Yale madawa unayoyameza huwa yanafnya mwili uwe unanying'onyea sasa ili kuurejesha katika hali yake lazima ubust kwakuuvuta ndio mwili unarejea kuwa sawa ...ifahamike kuwa wanapobeba huo unga wanapata mshiko mnene kaisi ..sasa ili waweze kuendelea kuubeba nilazima mwili uwe katka hali nzuri so hapo ndio wanalazimika kuutumia unga ili mwili upate kuwa poa ...maana kama nilivyokwambia unapobeba unga ukishautoa mwili unakuwa haupo sawa unakuwa na uchovu mnoo ...

so Tabia hiyo inapokubuhu ndio humfnya mtu anakuwa addicted mwisho wasiku anakuwa teja mazimaaaaa
 
Back
Top Bottom