Kuna nini NIDA hadi vitambulisho havitoki tena?

Kosa ni kutafuta Wakala NIDA kusimamia huo mpango,Wizara ya Mambo ya Ndani wanahusika sana katika hili,hivi Idara ya Uhamiaji kazi yake ni kukamata wahamiaji haramu na shughuli nyingine wakawaachia mawakala?
 
Kwani hukumsikia CAG kuhusu mradi huo?

Mradi ule una magumashi mengi na mkataba umeshamaliza muda huku supplier akiwa hajasupply nusu ya kadi na hakuna hatua zozote alizochukuliwa na aliyekuwa anajiita raisi wa wanyonge!
 
Vitambulisho havijatoka tokea 2018, na watu wameishia kupewa namba tu, hakuna cha ajabu, vitambulisho, NIDA, havikuwa priority ya mwendazake. KURA vilikuwa muhimu kwa maigizo yake ya uchaguzi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Tena huwa nashangaa sana, serikali kutumia resources kibao km.askari polisi, uhamiaji na magereza kukamata na kulisha wahamiaji haramu magerezani toka Ethiopia,ambao basically wenyewe huwa wanapitia Tz on tansit kuja huku SA....yaani wangekuwa labda wanawapa safe passage, Kwa kugongewa 2 passport zao waendelee kuja SA, manake huku SA huwa wanapokelewa kama refugees na kuruhusiwa kufanya biashara.....
Kosa ni kutafuta Wakala NIDA kusimamia huo mpango,Wizara ya Mambo ya Ndani wanahusika sana katika hili,hivi Idara ya Uhamiaji kazi yake ni kukamata wahamiaji haramu na shughuli nyingine wakawaachia mawakala?
 
Tena huwa nashangaa sana, serikali kutumia resources kibao km.askari polisi, uhamiaji na magereza kukamata na kulisha wahamiaji toka Ethiopia,wanapitia Tz on tansit kuja huku SA....target yao huwa ni SA wala hawataki kukaa Tz....yaani Tz wangekuwa labda wanawapa safe passage, Kwa kugongewa siku 5 passport zao waendelee kuja SA, manake huku SA huwa wanapokelewa tu kama refugees na kufanya biashara.....
Kosa ni kutafuta Wakala NIDA kusimamia huo mpango,Wizara ya Mambo ya Ndani wanahusika sana katika hili,hivi Idara ya Uhamiaji kazi yake ni kukamata wahamiaji haramu na shughuli nyingine wakawaachia mawakala?
 
Wamelizika na hizi namba walizotupatia Ila soon servers zao zitahackiwa na kututaka tukajisajili upya
 
Ni ajabu kubuni vitu ambavyo huna uhakika navyo
 
wameshajichokea .. mama anaupiga mwingi lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…