Kuna nini NIDA hadi vitambulisho havitoki tena?

Majuzi niliwasikia pb ya clouds waksema wamepata machine nzuri inatoa vtambulisho laki kwa siku hvyo labda katk hayo malaki ya vitambulisho labda havojafikishwa wilaya husika
 
Sisi hatuna jambo, tukishindwa jambo tuna singizia mabeberu.
sawa na timu za mpira ikigungwa wanasingizia marefa au hawakosi sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…