Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Watanzania wengi vichwani mwao zimejaa conspiracy theories, story za vijiweni na mawazo ya kitoto bila reasoning.
Wengi huwa wanakurupuka bila kuchunguza habari yenyewe kwa kina. Ikumbukwe USA Kama nchi nyingine yeyote Ina nafasi katika FIFA zaidi US women national team ndio best kwa viwango vya FIFA
Habari za rushwa kushamili ndani ya FIFA sio mpya na hazijaanza Leo, Luis figo alijitoa kwenye kinyang'anyiro cha urais wa FIFA sababu kuu ikiwa rushwa ndani ya taasisi hiyo, tatizo ilikua nani amfunge paka kengelele
USA kutopenda sana mpira ndio silaha kubwa kwenye hii skendo. Nchi zingine zote zilikua zinaogopa kuigusa FIFA wakihofia kudhuriwa na FIFA baada ya hapo lakini US has nothing to loose hapa ndio maana kajitosa mzima mzima, pili, monetary system ya US imetumika katika huu ulanguzi so US anakila sababu na haki ya kuingilia Kati ukizingatia pia uwezo anao kuliko nchi zingine zote. Mf. Kuna hela zilipita katika bank accounts za US bila kuonyesha vyanzo vya kuaminika. Vikao vya njama za kula rushwa mwaka Jana kabla ya WC Brazil imethibika kuna vilivyofanyika Miami ndani ya ardhi ya US na hiyo ni sababu tosha ya kufanya US kuwa mstari wa mbele
Kwa wapenzi wa soka US kuingilia Kati ilikua habari njema sio propaganda za vijiweni sijui waisrael wa US hawataki WC 2018 ifanyike Russia na blah blah