Kuna nini Nyuma ya FIFA (Blatter) na Marekani?

Kuna nini Nyuma ya FIFA (Blatter) na Marekani?

Watanzania wengi vichwani mwao zimejaa conspiracy theories, story za vijiweni na mawazo ya kitoto bila reasoning.

Wengi huwa wanakurupuka bila kuchunguza habari yenyewe kwa kina. Ikumbukwe USA Kama nchi nyingine yeyote Ina nafasi katika FIFA zaidi US women national team ndio best kwa viwango vya FIFA

Habari za rushwa kushamili ndani ya FIFA sio mpya na hazijaanza Leo, Luis figo alijitoa kwenye kinyang'anyiro cha urais wa FIFA sababu kuu ikiwa rushwa ndani ya taasisi hiyo, tatizo ilikua nani amfunge paka kengelele

USA kutopenda sana mpira ndio silaha kubwa kwenye hii skendo. Nchi zingine zote zilikua zinaogopa kuigusa FIFA wakihofia kudhuriwa na FIFA baada ya hapo lakini US has nothing to loose hapa ndio maana kajitosa mzima mzima, pili, monetary system ya US imetumika katika huu ulanguzi so US anakila sababu na haki ya kuingilia Kati ukizingatia pia uwezo anao kuliko nchi zingine zote. Mf. Kuna hela zilipita katika bank accounts za US bila kuonyesha vyanzo vya kuaminika. Vikao vya njama za kula rushwa mwaka Jana kabla ya WC Brazil imethibika kuna vilivyofanyika Miami ndani ya ardhi ya US na hiyo ni sababu tosha ya kufanya US kuwa mstari wa mbele

Kwa wapenzi wa soka US kuingilia Kati ilikua habari njema sio propaganda za vijiweni sijui waisrael wa US hawataki WC 2018 ifanyike Russia na blah blah
 
Time to release the bladder. Utadhani shirika ni la baba yake.
 
Na hakutakuwa na Mashindano ya kombe la Dunia 2018!. Nyie subirini!.
 
watanzania wengi tunaongozwa na hisia bila kutafuta facts

Kila mpenda soka dunia nzima anajua FIFA ni taasisi ambayo imekithiri katika vitendo vya rushwa na wakawa wanajifanya wanajichunguza wenyewe na kusema hamna serikali inayoweza kuwaingilia. Najua wapenzi wa mpira duniani pamoja kwamba hawakubaliani na marekani lakini wamefurahi kwamba atleast kuna watu wanawajibishwa kwa vitendo vyao vya rushwa.

FIFA hawana tofauti na TFF ambao wanaendesha mambo yao bila kufuata taratibu wanasema serikali haingilii mpira
 
Uzuri wa Marekani hawakurupuki, ushahidi wanao sasa kama mnataka kuhalalisha rushwa kisa Mmarekani Ndio kafanya uchunguzi hilo ni swala lingine.
 
If you missed it, here’s what Sepp Blatter said earlier:
“The events of yesterday have cast a long shadow over football and this congress. They bring shame and humiliation to football and demand change from us all. We cannot allow the reputation of Fifa to be dragged through the mud any longer.
“I know many people hold me ultimately responsible [but] I cannot monitor everyone all the time. If people want to do wrong, they will also try to hide it.
“Football cannot be the exception to the rule, that is our responsibility at Fifa, and we will co-operate if anyone is involved in wrongdoing. There can be no place for corruption of any kind.
“Let this be the turning point. More needs to be done to make sure everyone in football behaves responsibly and ethically.
“Football deserves so much more and we must respond. Tomorrow, at the Congress, we will begin a long and difficult road.

“We have lost trust, at least part of it, and we must now earn it back, through the decisions we make.

“We like this game … not for greed, not for exploiting, not for power, but because of the love of the game. Solidarity and unity is asked for the game, for the world, for peace.”
 
“I have no doubt that this is obviously an attempt to prevent Mr. Blatter’s re-election to the post of FIFA president, which is a grave violation of the principles that international organizations function on,” Mr. Putin said.

​Putin amesema yote hapo.
 
Wengi wa watuhumiwa ni raia wa Marekani au Kampuni zao ziko marekani, ndio maana wanaitajika wakajibu mashtaka uko Marekani.
 
marekani haitaki kwenda Russia kwenye WC wamejaribu kuzuia lakini Blatter kawa mgumu ikumbukwe kabla ya Blatter kuwa kiongozi FIFA ulaya name marekani ndio walikua wanauwezo wa kuchagua WC ichezwe wapi sasa baada ya Blatter kuingia akasema dunia yote kila nchi ina haki ya kuandaa WC ndipo hata South Africa ikapata kutokana na hiyo falsafa.
 
Blatter ni adhibitishe kwamba tuhuma nizauongo, mengine ni story za mtaani

Exactly...kwangu mie haijalishi nani anachunguza, kama pana shida sheria ichukue mkondo wake. Hao FBI nawatamani kweli waje na huku kutuchunguzia mahesabu yetu...:laugh:
 
Watu wanaongea siasa! USA ni mwanachama wa CONCACAF,(Baadhi ya walitiwa korokoroni ni Viongozi wa Shirikisho hilo,south,central and north America) na Money laundering ilifanyika kupitia mabenk ya USA. On top of that,NIKE is among the American Company which were involved in such fishy FIFA dirty scheme. So America is acting within its Jurisdiction. Na atawanyoosha tu.
Hizo story za kuhusu RUssia,zinaweza kuwa ni catalyst,lakini Hakuna ubishi,Pale FIFA kumeoza.!
 
Ni asiliamia mbili ya watu walio changia wameweza kuongea fact angalau mtu unaweza kuelewa, lakini wengine ni bla bla tu za vijiweni. Hivi kwani Russia wamechaguliwa leo ku host kombe la dunia.
 
Watu wanaongea siasa! USA ni mwanachama wa CONCACAF,(Baadhi ya walitiwa korokoroni ni Viongozi wa Shirikisho hilo,south,central and north America) na Money laundering ilifanyika kupitia mabenk ya USA. On top of that,NIKE is among the American Company which were involved in such fishy FIFA dirty scheme. So America is acting within its Jurisdiction. Na atawanyoosha tu.
Hizo story za kuhusu RUssia,zinaweza kuwa ni catalyst,lakini Hakuna ubishi,Pale FIFA kumeoza.!

Ahsante mkuu kitufe cha like sikioni nakupa like nyingi. yaaani watu wanaleta story za vijiweni hapa
 
marekani haitaki kwenda Russia kwenye WC wamejaribu kuzuia lakini Blatter kawa mgumu ikumbukwe kabla ya Blatter kuwa kiongozi FIFA ulaya name marekani ndio walikua wanauwezo wa kuchagua WC ichezwe wapi sasa baada ya Blatter kuingia akasema dunia yote kila nchi ina haki ya kuandaa WC ndipo hata South Africa ikapata kutokana na hiyo falsafa.
Achana na hearsay ndugu. Unaweza kutoa japo reference ya hili unenalo? What determines the WC host ni votes,na humo ndo kuna mrungula balaa..!
The Chief investigator wa IRS, Kasema wanataka kukomesha ubaradhuli wote wa Blatter &co...! Subiri utasikia.
Maana wamekomba nyaraka na IT data pale NYON HQ ya FIFA. So let's wait.
Hizo propaganda zitafichuliwa. A matter of time.
 
Watu wanaongea siasa! USA ni mwanachama wa CONCACAF,(Baadhi ya walitiwa korokoroni ni Viongozi wa Shirikisho hilo,south,central and north America) na Money laundering ilifanyika kupitia mabenk ya USA. On top of that,NIKE is among the American Company which were involved in such fishy FIFA dirty scheme. So America is acting within its Jurisdiction. Na atawanyoosha tu.
Hizo story za kuhusu RUssia,zinaweza kuwa ni catalyst,lakini Hakuna ubishi,Pale FIFA kumeoza.!
Word bro.
Problem is, most people buy every first thing that's thrown at them, only because everyone else they know is buying, and they don't even keep their receipts just in case.
 
Back
Top Bottom