Kuna nini Nyuma ya FIFA (Blatter) na Marekani?


umejibu vyema!!
 
FIFA ni genge la majambazi, kama ilivyo mashirikisho mengi. Angalia hata tuzo zao kama mchezaji bora, ...zina utata mwingi sana. Mmarekani ndiye mwenye ubavu wa 'kumfunga paka kengele'. Naona hata 'mjomba' Platin ameng'aka kumuunga mkono Blatter. Hizo propaganda (iwe kweli au uongo hainihusu) kati ya US na Urusi zilikuwepo, na zitaendelea kuwepo.
 

Ni kweli pameoza, lakini issue ni kwamba why now? Huu uozo ni wa zaidi ya miaka 20 iliyopita, walikuwa wapi muda wote? Siyo siri, kinachotafutwa hapo ni nafasi ya Blatter na nafasi ya urusi kuandaa kombe la Dunia!
 
swali kwa nini wafichue kipindi cha uchaguzi wa FIFA na wakati huo walishatangaza urusi siyo sehemu salama kwa WC kisa inasapoti Ukraine?
 
Fifa rushwa imekithiri, FBI ndo wame monitor transactions zilivofanyika wengine walikuwa wanagwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…