Kuna nini Nyuma ya FIFA (Blatter) na Marekani?

Kuna nini Nyuma ya FIFA (Blatter) na Marekani?

Watanzania wengi vichwani mwao zimejaa conspiracy theories, story za vijiweni na mawazo ya kitoto bila reasoning.

Wengi huwa wanakurupuka bila kuchunguza habari yenyewe kwa kina. Ikumbukwe USA Kama nchi nyingine yeyote Ina nafasi katika FIFA zaidi US women national team ndio best kwa viwango vya FIFA

Habari za rushwa kushamili ndani ya FIFA sio mpya na hazijaanza Leo, Luis figo alijitoa kwenye kinyang'anyiro cha urais wa FIFA sababu kuu ikiwa rushwa ndani ya taasisi hiyo, tatizo ilikua nani amfunge paka kengelele

USA kutopenda sana mpira ndio silaha kubwa kwenye hii skendo. Nchi zingine zote zilikua zinaogopa kuigusa FIFA wakihofia kudhuriwa na FIFA baada ya hapo lakini US has nothing to loose hapa ndio maana kajitosa mzima mzima, pili, monetary system ya US imetumika katika huu ulanguzi so US anakila sababu na haki ya kuingilia Kati ukizingatia pia uwezo anao kuliko nchi zingine zote. Mf. Kuna hela zilipita katika bank accounts za US bila kuonyesha vyanzo vya kuaminika. Vikao vya njama za kula rushwa mwaka Jana kabla ya WC Brazil imethibika kuna vilivyofanyika Miami ndani ya ardhi ya US na hiyo ni sababu tosha ya kufanya US kuwa mstari wa mbele

Kwa wapenzi wa soka US kuingilia Kati ilikua habari njema sio propaganda za vijiweni sijui waisrael wa US hawataki WC 2018 ifanyike Russia na blah blah

umejibu vyema!!
 
FIFA ni genge la majambazi, kama ilivyo mashirikisho mengi. Angalia hata tuzo zao kama mchezaji bora, ...zina utata mwingi sana. Mmarekani ndiye mwenye ubavu wa 'kumfunga paka kengele'. Naona hata 'mjomba' Platin ameng'aka kumuunga mkono Blatter. Hizo propaganda (iwe kweli au uongo hainihusu) kati ya US na Urusi zilikuwepo, na zitaendelea kuwepo.
 
Watu wanaongea siasa! USA ni mwanachama wa CONCACAF,(Baadhi ya walitiwa korokoroni ni Viongozi wa Shirikisho hilo,south,central and north America) na Money laundering ilifanyika kupitia mabenk ya USA. On top of that,NIKE is among the American Company which were involved in such fishy FIFA dirty scheme. So America is acting within its Jurisdiction. Na atawanyoosha tu.
Hizo story za kuhusu RUssia,zinaweza kuwa ni catalyst,lakini Hakuna ubishi,Pale FIFA kumeoza.!

Ni kweli pameoza, lakini issue ni kwamba why now? Huu uozo ni wa zaidi ya miaka 20 iliyopita, walikuwa wapi muda wote? Siyo siri, kinachotafutwa hapo ni nafasi ya Blatter na nafasi ya urusi kuandaa kombe la Dunia!
 
Achana na hearsay ndugu. Unaweza kutoa japo reference ya hili unenalo? What determines the WC host ni votes,na humo ndo kuna mrungula balaa..!
The Chief investigator wa IRS, Kasema wanataka kukomesha ubaradhuli wote wa Blatter &co...! Subiri utasikia.
Maana wamekomba nyaraka na IT data pale NYON HQ ya FIFA. So let's wait.
Hizo propaganda zitafichuliwa. A matter of time.
swali kwa nini wafichue kipindi cha uchaguzi wa FIFA na wakati huo walishatangaza urusi siyo sehemu salama kwa WC kisa inasapoti Ukraine?
 
Fifa rushwa imekithiri, FBI ndo wame monitor transactions zilivofanyika wengine walikuwa wanagwaya.
 
Back
Top Bottom