Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Kwani humu tunaongea kwa debate hadi nikae kimya ..kukaa kimya kwangu ni simu kuisha charge [HASHTAG]#tupunguze[/HASHTAG] chukiWashiriki tunao humu ndip maana nikauliza kama hujui kaa kimya watu wanajua mambo
Sasa kama hujui dunia inavyoenda tukusaidiaje maana unajibu kwa hisia huku hujui kitu.. Pitia comment za wenzio uone wamefanya nn na wanajua nnKwani humu tunaongea kwa debate hadi nikae kimya ..kukaa kimya kwangu ni simu kuisha charge [HASHTAG]#tupunguze[/HASHTAG] chuki
Nimekuelewa,tuko pamoja,huo ni ushamba tuHakuna lolote zaidi ya ushamba wa kuigana
Niliwaza tu kwa sauti, waza mawazo yako piaDadavua mkuu
Uchochezi tuuSalam kwenu... Nimejaribu kuwafuatilia hawa wasafi naona wote wanavaa mkufu wenye kaalama kama ma msalaba sijui no agizo toka kwa top management. Ama kunakitu wanaabudu ama ni sare kwao... Na nimeona waislam wakiponda hiyo mikufu kwamba ni ishara ya kushabikia ushetani ama ukristo
Vanny boy
Boss simba
lava lava na konde boy
Mavoko
WCB WOTE KWA PAMOJA
Yea,masonic indeed!Free mason
In this symbol the crown stands for victory over death. The symbol is also associated with Freemasonry, specifically the Knight Templar degree of the York Rite of Freemasonry. ... The cross and crown symbol is often surrounded by the phrase "In Hoc Signo Vinces", which is Latin for "By this sign thou shalt conquer".Yea,masonic indeed!
Ukweli mchungu