Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

Rich mavoko alishalielezea hili mbona kwenye interview ni mawazo yenu mfu tu.
 
Washiriki tunao humu ndip maana nikauliza kama hujui kaa kimya watu wanajua mambo
Kwani humu tunaongea kwa debate hadi nikae kimya ..kukaa kimya kwangu ni simu kuisha charge [HASHTAG]#tupunguze[/HASHTAG] chuki
 
Kuna picha moja ya Nigeria hao jamaa walikua wakitaka kufanya mambo yao walikuwa wanasema ' The more you look, the less you see'.
 
Kwani humu tunaongea kwa debate hadi nikae kimya ..kukaa kimya kwangu ni simu kuisha charge [HASHTAG]#tupunguze[/HASHTAG] chuki
Sasa kama hujui dunia inavyoenda tukusaidiaje maana unajibu kwa hisia huku hujui kitu.. Pitia comment za wenzio uone wamefanya nn na wanajua nn
 
Salam kwenu... Nimejaribu kuwafuatilia hawa wasafi naona wote wanavaa mkufu wenye kaalama kama ma msalaba sijui no agizo toka kwa top management. Ama kunakitu wanaabudu ama ni sare kwao... Na nimeona waislam wakiponda hiyo mikufu kwamba ni ishara ya kushabikia ushetani ama ukristo
df7c058f6917027f618529f31d6a8ede.jpg

Vanny boy
3a3f302c35888d1f72cd58f74294e91d.jpg

Boss simba
74c58b7779ab8c55a543937ddd80c5a9.jpg
lava lava na konde boy
b2af58b8927857ae6bf931897d667db4.jpg

Mavoko

8c982ca43c7ff4310cb2b39d5ff35f0a.jpg

WCB WOTE KWA PAMOJA
Uchochezi tuu
 
Yea,masonic indeed!
Ukweli mchungu
In this symbol the crown stands for victory over death. The symbol is also associated with Freemasonry, specifically the Knight Templar degree of the York Rite of Freemasonry. ... The cross and crown symbol is often surrounded by the phrase "In Hoc Signo Vinces", which is Latin for "By this sign thou shalt conquer".
200px-Coa_Illustration_Cross_Crowned.svg.png

Kwani hiyo mikufu ya hao WCB inafanana na huu? kama ni ndio basi pengine wanavaa kwa kujua ama kutokujua.
 
MKUU NIKUSHAURI TU
TAFUTA PESA ,HAO DABILIU SIBII
HATA UKIGINDUA NI MASHETAN
UTAKUA UMEPOTEZA MDA WAKO
TU KWASABABU SIDHAN KAMA
ITAKUSAIDIA..ACHANA NAO KAMA
NI MASHETAN NI NJIA WALIOCHAGUA WAO,
 
Sababu ni za msaada kutoka kwa watu wa........
 
Kuna kitu...... nabakiza akiba ya maneno
 
Mkuu wachina na wale wakorea wanavyozidi kutusua daily ni nini haswa wanachofanya!,Je wanakomalia vitu kama hivi au wanashughulisha akili zai plus kufanya kazi kwa bidii!! Ippfo mbitonyi!!!
 
mfanano wa hizo cheni uko wapi....au ulitaka wengine wavae cheni za pembe tatu?
 
Back
Top Bottom