Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

K
Salam kwenu... Nimejaribu kuwafuatilia hawa wasafi naona wote wanavaa mkufu wenye kaalama kama ma msalaba sijui no agizo toka kwa top management. Ama kunakitu wanaabudu ama ni sare kwao... Na nimeona waislam wakiponda hiyo mikufu kwamba ni ishara ya kushabikia ushetani ama ukristo
df7c058f6917027f618529f31d6a8ede.jpg

Vanny boy
3a3f302c35888d1f72cd58f74294e91d.jpg

Boss simba
74c58b7779ab8c55a543937ddd80c5a9.jpg
lava lava na konde boy
b2af58b8927857ae6bf931897d667db4.jpg

Mavoko

8c982ca43c7ff4310cb2b39d5ff35f0a.jpg

WCB WOTE KWA PAMOJA
KWA sababu wanajua wajinga km nyinyi mtahoji na na kuendelea kuwapa kiki
 
Kutoka sites mbalimabli google huo msalaba unaitwa Ankh cross.Chimbuko lake Ni wamisri.Huo msalaba una Maana ya uhai,muunganiko kati ya mwanamke na mwanaume na maisha baada ya kufa.

Kanisa la misri liitwalo the coptic church o Egypt wali adapt huo msalaba wanauita crux ansata yani msalaba wenye mshikio.Hii Ni kwasababu Unamaana ya uzima na ahadi ya maisha baada ya kifo au uzima wa milele kama Kristo alivyoahidi.

Katika kizazi chetu cha saivi wakristo pia hutumia hii misalaba kwani mengine ina Maana au historia zisizoeleweka na zinazojichanganya mfano msalaba ulionyooka unamaana ya kifo n.k

Kwa wanaosema ni Freemason pia wanapoint since knight templars wanatumia ankh sema yao Ina kimsalaba chekundu ndani ya huo mduara.
Knight templars kwa ufupi Ni order kwenye Freemasons ambapo unajiunga Kama unaamini ukristo.
Knight templars pia wanahistoria yao hawa jamaa wakarne ya kumi huko na kuendelea walitumika na kanisa kupigana vita vya wakristo(crusades) walikuwa wakikusanya hela Ulaya lengo nikulinda Jerusalem n.k
Kwa ufupi walikuwa matajiri Sana hadi wakadhaniwa wanasiri za uchawi walizozipata katika vita vyao maeneo mengi duniani.Mfalme Phillip alikuja kuwamaliza akitaka kujua ukweli ambapo mpaka sasa haujulikani.
Unajua tena Freemasons kiini kikubwa Ni kufa huku hujasema ukweli.
Anyway ndo ivo,knight templars wana symbols kibao ila wanatumia ankh pia kwasababu ya uzima blah blahblah

Kuhusu kuabudu shetani misjui.Some sources zinasema ankh ilisymbolise reincarnation ya mungu Ra wa Misri ambapo Ni Lucifer.Asa sjui Kama its a true or false allegation.
 
Mose Iyobo kumbe yupo... Maana sijamsikia kitambo,tangu Enzi zile apambane na Hamo Rapo
 
Back
Top Bottom