Kuna nini Tanzania mbona kila kitu sasa ni mgao?

Kuna nini Tanzania mbona kila kitu sasa ni mgao?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Kuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao?

Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika!

Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?
 
Kuna nchi inaongozwa na mtu alipohitimu kidato cha nne akasomea ukalani. Akafanya kazi akasomasoma kidogo akagawa michele uko kwao.

Baadae akawa kiongozi wa juu kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Kwa kawaida kabisa unategemea kuwe na maendeleo kwenye nchi ile ya Amerika ya Kusini?

Ile nchi kiongozi wake hana CV wala uwezo wa kuleta la maana zaidi kwenye nyakati ngumu za kiuchumi duniani
 
Kuna nchi inaongozwa na mtu alipohitimu kidato cha nne akasomea ukalani. Akafanya kazi akasomasoma kidogo akagawa michele uko kwao. Baadae akawa kiongozi wa juu kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Kwa kawaida kabisa unategemea kuwe na maendeleo kwenye nchi ile ya Amerika ya Kusini?

Ile nchi kiongozi wake hana CV wala uwezo wa kuleta la maana zaidi kwenye nyakati ngumu za kiuchumi duniani
Wasukuma wanasema "angalega sana" . Wale jamaa wapo wanakula mishahara .
 
Kuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao?

Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika!

Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?!
Bodi ya Dawasa na Rc Makala leo wametembelea Ruvu chini na juu, uzalishaji ni 40% tu, hakuna mvua kina kimeshuka.
 
Kipindi nafungua duka:kipindi hiki
Mchele 1800:3000
Unga wa ngano 1700:2200
Majani 500:600
Tomato,chill 1500:1800
Tambi 1500:2000
Nk nk
 
Jibu ni kuna CCM, na hilo kila mtu anafahamu halina kificho.
 
Back
Top Bottom