Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Una dozen nzima ndani nini boss. Chumvi inapanda bei mbona pakti moja inaanza kuchukua bei ya sukari robo.Mfumuko wa Bei mpaka sasa unapambana na Chumvi tu,maana ndiyo haijapanda Bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una dozen nzima ndani nini boss. Chumvi inapanda bei mbona pakti moja inaanza kuchukua bei ya sukari robo.Mfumuko wa Bei mpaka sasa unapambana na Chumvi tu,maana ndiyo haijapanda Bei.
[emoji1][emoji1][emoji1]Labda Putin ameshambulia mifumo yetu ya kuzalisha umeme na kusambaza maji
Usikurupuke, Mimi nimecomment kuhusu mgao wa maji.Unalipwa wewe. Na utakuwa na jenereta lako binafsi.
Kila kitu kinatokana na Maji. Ukame wote huu bado unataka mambo yawe sawa. Mlivyo na roho mbaya mtaanza kuilaumu SerikaliKuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao?
Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika!
Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?!
Ufikiri huu ndio unaonyesha tuna watu wa namna gani, 60yrs watawala wetu na wataalamu wetu bado wanatuaminisha kuwa bila mvua maji hakuna hii ni uongo wa hali ya juu, majiji mengi duniani yanategemea mabwawa ya kuhifadhi maji ili yasaidie wakati wa ukame, why jiji letu la Dar wasingejenga mabwawa kama 4 hivi ya kutunza maji?,around Dar kuna mito ya fresh water, hii mito tungeielekeza kwenye mabwawa ili maji haya tuyavune, hatuwezi hadi leo tutugemee ruvu river kama main source ya maji, Capetown inategemea mabwawa ku supply maji why sisi hatufanyi kama wao,JHB maji yanatoka Lesotho!,why sisi tusichukue fresh water kutoka ziwa Nyanza?,mimi sio zuzu kabisaKila kitu kinatokana na Maji. Ukame wote huu bado unataka mambo yawe sawa. Mlivyo na roho mbaya mtaanza kuilaumu Serikali
Nikuulize? Huko Israeli wanategemea mvua? Mbona ni taifa lenye ukame miaka nenda rudi, lakini hawana matatizo ya kipuuzi? Na ndio wanazalisha chakula kuliko hata Tanzania yenyewe. Na Misri je? Libya kipindi cha Gaddafi?Usikurupuke, Mimi nimecomment kuhusu mgao wa maji.
Kwa hizi akili zako ungeishi ukanda wa gaza ungekufa kizembe sana.Kila kitu kinatokana na Maji. Ukame wote huu bado unataka mambo yawe sawa. Mlivyo na roho mbaya mtaanza kuilaumu Serikali
Kuna mamá mmoja anaitwa BITOZO anaupiga mwingi.Kuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao?
Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika!
Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?!
Kwamba Serikali ni Kusifiwa tu Mambo yakienda Sawa ?Kila kitu kinatokana na Maji. Ukame wote huu bado unataka mambo yawe sawa. Mlivyo na roho mbaya mtaanza kuilaumu Serikali
Prince Makamba yuko kazini akitimiza wito wa Baba yake!Kuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao?
Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika!
Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?!
Boss hii nchi viongozi asilimia kubwa ni vilaza ,utalia Bure, average leaders, tutafika miaka 500 hivi hivi with zero development, wewe uliona wapi Taifa lolote duniani Lina tegemea kila kitu kije kifanywe na wawekezaji? , Kazi ya serikali na viongozi wake ilishakuwa kuongea, kuzuga , uzinduzi, michakato, ....mwishowe wana kuambia tume timiza ilani 100% , Mzee kingunge hakuwa mjinga kusema CCM imeishiwa pumzi, hiki chama agenda yake kubwa ilikuwa ni Kwa ajili ya ukombozi sio maendeleo, wata jitutumua lakini maendeleo hatuta yapata, Kwa sababu watu ni wale wale , elimu Ile ile , maarifa yake Yale , mbinu zile zile , uelewa ule ule na matokeo ni Yale yale.Ufikiri huu ndio unaonyesha tuna watu wa namna gani, 60yrs watawala wetu na wataalamu wetu bado wanatuaminisha kuwa bila mvua maji hakuna hii ni uongo wa hali ya juu, majiji mengi duniani yanategemea mabwawa ya kuhifadhi maji ili yasaidie wakati wa ukame, why jiji letu la Dar wasingejenga mabwawa kama 4 hivi ya kutunza maji?,around Dar kuna mito ya fresh water, hii mito tungeielekeza kwenye mabwawa ili maji haya tuyavune, hatuwezi hadi leo tutugemee ruvu river kama main source ya maji, Capetown inategemea mabwawa ku supply maji why sisi hatufanyi kama wao,JHB maji yanatoka Lesotho!,why sisi tusichukue fresh water kutoka ziwa Nyanza?,mimi sio zuzu kabisa
Kwa nini Israel, Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine kadhaa za jangwani hakuna shida ya maji au umeme??Kila kitu kinatokana na Maji. Ukame wote huu bado unataka mambo yawe sawa. Mlivyo na roho mbaya mtaanza kuilaumu Serikali
Waleteeeeee!!! Washawahi kuskia Dubai sijui kina kimepungua?Kwa nini Israel, Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine kadhaa za jangwani hakuna shida ya maji au umeme??
Kwa nini Israel, Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine kadhaa za jangwani hakuna shida ya maji au umeme??