Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Yaani kila kitu sasa ni kugawiwa tu.Wahuni Kazini, Maji Tutaita Mmaa
Inasikitisha sana!kwetu uku maji tunasema mmaa ni wiki na nusu hayatoki
Hatari mno, mno!Mfumuko wa Bei mpaka sasa unapambana na Chumvi tu,maana ndiyo haijapanda Bei.
Utaambiwa Sababu Ya VitaYaani kila kitu sasa ni kugawiwa tu.
Wasukuma wanasema "angalega sana" . Wale jamaa wapo wanakula mishahara .Kuna nchi inaongozwa na mtu alipohitimu kidato cha nne akasomea ukalani. Akafanya kazi akasomasoma kidogo akagawa michele uko kwao. Baadae akawa kiongozi wa juu kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Kwa kawaida kabisa unategemea kuwe na maendeleo kwenye nchi ile ya Amerika ya Kusini?
Ile nchi kiongozi wake hana CV wala uwezo wa kuleta la maana zaidi kwenye nyakati ngumu za kiuchumi duniani
Bodi ya Dawasa na Rc Makala leo wametembelea Ruvu chini na juu, uzalishaji ni 40% tu, hakuna mvua kina kimeshuka.Kuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao?
Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika!
Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?!
..baada ya miaka 60 ya uhuru??!!Bodi ya Dawasa na Rc Makala leo wametembelea Ruvu chini na juu, uzalishaji ni 40% tu, hakuna mvua kina kimeshuka.
Miaka 60 ya Uhuru ndio inaleta mvua? We vipi?..baada ya miaka 60 ya uhuru??!!
Unalipwa wewe. Na utakuwa na jenereta lako binafsi.Miaka 60 ya Uhuru ndio inaleta mvua? We vipi?