Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kuna njama za kuifuta CHADEMA endeleeni kuchochea moto zaidi, wauwaji wa raia na watekaji hadi maiti hospital ni rais haramu na polisi ushahidi upo.
Ushihidi kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa uongo na udanganyifu upo mwingi sana, sasa waache waendelee kufanya makosa zaidi watakula kibano nje ndani na wataipeleka nchi kwenye machafuko makubwa sana.
Haya wakifute hiyo CHADEMA tuone kama nani atawasikiliza au kama watabadilisha chochote iwe mvua iwe manyunyu D25 tutakiwasha sana.