Kuna njama za kuifuta CHADEMA endeleeni kuchochea moto zaidi

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kuna njama za kuifuta CHADEMA endeleeni kuchochea moto zaidi, wauwaji wa raia na watekaji hadi maiti hospital ni rais haramu na polisi ushahidi upo.

Ushihidi kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa uongo na udanganyifu upo mwingi sana, sasa waache waendelee kufanya makosa zaidi watakula kibano nje ndani na wataipeleka nchi kwenye machafuko makubwa sana.

Haya wakifute hiyo CHADEMA tuone kama nani atawasikiliza au kama watabadilisha chochote iwe mvua iwe manyunyu D25 tutakiwasha sana.
 
Active

JamiiForums

Mojawapo ya ID zinazo jaribu kuchochea na kuhimiza uhalifu nchini na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini...
We mpumbavu nini uhalifu wafanye wengine wauwe na kuteka alafu mimi ninaye wapinga ndio niwe muhalifu huna akili kabisa kichwani nina hasira na wapumbavu kama wewe
 
maandamano na utekaji lipi ni kosa ?
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi
 
Active

JamiiForums

Mojawapo ya ID zinazo jaribu kuchochea na kuhimiza uhalifu nchini na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini...
Kaa kwa kutulia kama unataka machapisho ya kushangalia utekaji na mauwaji nenda kwenye machapisho ya lucas huko hapa ni spana mwanzo mwisho.
 
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi na kutaka kupindua serikali
 
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi
Muuwaji na mtekaji na anayepinga yupi anavunja amani ya nchi ? hivi kichwani unaakili wewe ngoja nikupuuze
 
Ndio naendelea kuwapiga spana mpaka mabadiliko lazima utekaji na mauwaji ukomeshwe kwanza ili niachs
 
Kuna njama za kuifuta CHADEMA endeleeni kuchochea moto zaidi, wauwaji wa raia na watekaji hadi maiti hospital ni rais haramu na polisi ushahidi upo.

Ushihidi kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa uongo na udanganyifu upo mwingi sana, sasa waache waendelee kufanya makosa zaidi watakula kibano nje ndani na wataipeleka nchi kwenye machafuko makubwa sana.

Haya wakifute hiyo CHADEMA tuone kama nani atawasikiliza au kama watabadilisha chochote iwe mvua iwe manyunyu D25 tutakiwasha sana.

Chadema kiko wapi?

Mbona hakipo popote, kipo mahakamani tu

They have nothing, hata wakisema wanafuta hakuna anything kitabadilika because hakipo popote

Hawana mali

Hawana ruzuku

Wana kesi tu 😄
 
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi

Hayo mambo mkaongee tbc one

Jf imefungiwa na serikali
 
Ndio naendelea kuwapiga spana mpaka mabadiliko lazima utekaji na mauwaji ukomeshwe kwanza ili niachs
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi

Active angalie msije mkaingizwa kwenye matatizo na ID za wahalifu kama Hawa...kila mtu anajua disemba 25 ni sikukuu ya wakristo wote Duniani kusherekea Krismasi na sio siku ya wahalifu kufanya uhalifu kama huyu ..hakika mtakutana na mkono wa sheria na sisi watanzania wapenda amani tutaungana na jeshi la Polisi kuhakikisha watu wanakua na amani katika nchi yao na kusherekea kwa amani
 
Nikiitwa kusaidia polisi wewe inakuhusu nini ? Dogo katafute watu wengine wa kuwatisha mimi sitishwi na mbumbumbu najua ninachokifanya ni nini
 
Ndio naendelea kuwapiga spana mpaka mabadiliko lazima utekaji na mauwaji ukomeshwe kwanza ili niachs
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi

Active angalie msije mkaingizwa kwenye matatizo na ID za wahalifu kama Hawa...kila mtu anajua disemba 25 ni sikukuu ya wakristo wote Duniani kusherekea Krismasi na sio siku ya wahalifu kufanya uhalifu kama huyu ..hakika mtakutana na mkono wa sheria na sisi watanzania wapenda amani tutaungana na jeshi la Polisi kuhakikisha watu wanakua na amani katika nchi yao na kusherekea
Nikiitwa kusaidia polisi wewe inakuhusu nini ? Dogo katafute watu wengine wa kuwatisha mimi sitishwi na mbumbumbu najua ninachokifanya ni nini
Tarehe 25 andamana anzia ikulu kabisa ujichukue na video ...😂😂😂😂
 
Kuna njama za kuifuta CHADEMA endeleeni kuchochea moto zaidi, wauwaji wa raia na watekaji hadi maiti hospital ni rais haramu na polisi ushahidi upo.

Ushihidi kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa uongo na udanganyifu upo mwingi sana, sasa waache waendelee kufanya makosa zaidi watakula kibano nje ndani na wataipeleka nchi kwenye machafuko makubwa sana.

Haya wakifute hiyo CHADEMA tuone kama nani atawasikiliza au kama watabadilisha chochote iwe mvua iwe manyunyu D25 tutakiwasha sana.
chama cha mamluki na magaidi ni sharti kifutwe, na kwakweli kitafutwa bila wasiwasi wowote na hakuna kitu watafanya hao mamaluki :NoGodNo:
 
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi

Active angalie msije mkaingizwa kwenye matatizo na ID za wahalifu kama Hawa...kila mtu anajua disemba 25 ni sikukuu ya wakristo wote Duniani kusherekea Krismasi na sio siku ya wahalifu kufanya uhalifu kama huyu ..hakika mtakutana na mkono wa sheria na sisi watanzania wapenda amani tutaungana na jeshi la Polisi kuhakikisha watu wanakua na amani katika nchi yao na kusherekea

Tarehe 25 andamana anzia ikulu kabisa ujichukue na video ...😂😂😂😂
Huna akili
 
Back
Top Bottom