Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
We mpumbavu nini uhalifu wafanye wengine wauwe na kuteka alafu mimi ninaye wapinga ndio niwe muhalifu huna akili kabisa kichwani nina hasira na wapumbavu kama weweActive
JamiiForums
Mojawapo ya ID zinazo jaribu kuchochea na kuhimiza uhalifu nchini na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini...
Uchochezi na kuuwa lipi ni kosa ?Active
JamiiForums
Mojawapo ya ID zinazo jaribu kuchochea na kuhimiza uhalifu nchini na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini...
maandamano na utekaji lipi ni kosa ?Active
JamiiForums
Mojawapo ya ID zinazo jaribu kuchochea na kuhimiza uhalifu nchini na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini...
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchimaandamano na utekaji lipi ni kosa ?
Kaa kwa kutulia kama unataka machapisho ya kushangalia utekaji na mauwaji nenda kwenye machapisho ya lucas huko hapa ni spana mwanzo mwisho.Active
JamiiForums
Mojawapo ya ID zinazo jaribu kuchochea na kuhimiza uhalifu nchini na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini...
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi na kutaka kupindua serikaliKaa kwa kutulia kama unataka machapisho ya kushangalia utekaji na mauwaji nenda kwenye machapisho ya lucas huko hapa ni spana mwanzo mwisho.
Muuwaji na mtekaji na anayepinga yupi anavunja amani ya nchi ? hivi kichwani unaakili wewe ngoja nikupuuzeEndelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchiMuuwaji na mtekaji na anayepinga yupi anavunja amani ya nchi ? hivi kichwani unaakili wewe ngoja nikupuuze
Ndio naendelea kuwapiga spana mpaka mabadiliko lazima utekaji na mauwaji ukomeshwe kwanza ili niachsEndelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi na kutaka kupindua serikali
Kuna njama za kuifuta CHADEMA endeleeni kuchochea moto zaidi, wauwaji wa raia na watekaji hadi maiti hospital ni rais haramu na polisi ushahidi upo.
Ushihidi kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa uongo na udanganyifu upo mwingi sana, sasa waache waendelee kufanya makosa zaidi watakula kibano nje ndani na wataipeleka nchi kwenye machafuko makubwa sana.
Haya wakifute hiyo CHADEMA tuone kama nani atawasikiliza au kama watabadilisha chochote iwe mvua iwe manyunyu D25 tutakiwasha sana.
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchiNdio naendelea kuwapiga spana mpaka mabadiliko lazima utekaji na mauwaji ukomeshwe kwanza ili niachs
Nikiitwa kusaidia polisi wewe inakuhusu nini ? Dogo katafute watu wengine wa kuwatisha mimi sitishwi na mbumbumbu najua ninachokifanya ni niniEndelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi
Active angalie msije mkaingizwa kwenye matatizo na ID za wahalifu kama Hawa...kila mtu anajua disemba 25 ni sikukuu ya wakristo wote Duniani kusherekea Krismasi na sio siku ya wahalifu kufanya uhalifu kama huyu ..hakika mtakutana na mkono wa sheria na sisi watanzania wapenda amani tutaungana na jeshi la Polisi kuhakikisha watu wanakua na amani katika nchi yao na kusherekea kwa amani
Endelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchiNdio naendelea kuwapiga spana mpaka mabadiliko lazima utekaji na mauwaji ukomeshwe kwanza ili niachs
Tarehe 25 andamana anzia ikulu kabisa ujichukue na video ...ππππNikiitwa kusaidia polisi wewe inakuhusu nini ? Dogo katafute watu wengine wa kuwatisha mimi sitishwi na mbumbumbu najua ninachokifanya ni nini
chama cha mamluki na magaidi ni sharti kifutwe, na kwakweli kitafutwa bila wasiwasi wowote na hakuna kitu watafanya hao mamalukiKuna njama za kuifuta CHADEMA endeleeni kuchochea moto zaidi, wauwaji wa raia na watekaji hadi maiti hospital ni rais haramu na polisi ushahidi upo.
Ushihidi kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa uongo na udanganyifu upo mwingi sana, sasa waache waendelee kufanya makosa zaidi watakula kibano nje ndani na wataipeleka nchi kwenye machafuko makubwa sana.
Haya wakifute hiyo CHADEMA tuone kama nani atawasikiliza au kama watabadilisha chochote iwe mvua iwe manyunyu D25 tutakiwasha sana.
Huna akiliEndelea kuhamasisha uvunjifu wa amani uuitwe kusaidia polisi...yawezekana na wewe una mkono katika uhalifu wa kuchoma mali za serikali na za wananchi
Active angalie msije mkaingizwa kwenye matatizo na ID za wahalifu kama Hawa...kila mtu anajua disemba 25 ni sikukuu ya wakristo wote Duniani kusherekea Krismasi na sio siku ya wahalifu kufanya uhalifu kama huyu ..hakika mtakutana na mkono wa sheria na sisi watanzania wapenda amani tutaungana na jeshi la Polisi kuhakikisha watu wanakua na amani katika nchi yao na kusherekea
Tarehe 25 andamana anzia ikulu kabisa ujichukue na video ...ππππ