DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
KATIKA MAISHA KUNA NJIA MBILI ZA KUJIFUNZA , NJIA NGUMU NA NJIA NYEPESI.
Maisha yana mambo mengi sana, binadamu kila kukicha wanakutana na changamoto mbali mbali .
ila pamoja na yote , kitu ambacho unabidi kukizingatia unabidi kuwa aware na mambo yanayowatokea wenzako , kuanzia mafanikio yao , kukwama kwao , changamoto zao.
Then ukishakuwa aware make sure you learn from their mistakes and Success.
Mfano kuna watu huwa hawapendi kujifunza kupitia makosa ya wengine na kujiona kuwa wao ni exceptional or special.
NO , ukiona mtu anapitia changamoto nenda kachukue somo ili na wewe usije ukaipitia changamoto kama hiyo.
mfano , wewe ni mzazi unaona binti ana only 17-18 yrs kazalishwa na kuachwa , don't laugh at her na kusema mimi watoto wangu wa kike hawawezi kuwa kama huyo binti , ila wewe kaa na uangalie shida nini hasa then itumie hiyo changamoto kama sehemu ya kuhakikisha wanao wa kike hawapitii the same changamoto.
As well , hata ukiona mtu anafirisika , anapitia ugonjwa fulani , anapitia kipindi kigumu cha ndoa , don't laugh at them , ila kajifunze kupitia hiyo changamoto yao.
ukifanya hivyo kwa kujifunza katika changamoto za watu na katika mafanikio ya watu
hizo ndo zinaitwa njia nyepesi ya kujifunza ktk Maisha.
Na pia ipo njia ngumu ya kujifunza, hasa pale unapokuwa unapitia changamoto ngumu katika Maisha ambazo haukuwahi kuzitarajia .
Na pia unapopuuza jambo ukasema kwako haliwezi kukutokea na kujiona ur exceptional ujue you will learn in hard way.
In universe binadamu ni kitu kimoja ni kama chungwa na binadamu ni kama vipande vya chungwa, hivyo changamoto inayompata binadamu mwenzako ni yako pia usiipuuze hata kama hauko katika nafasi ya kumsaidia ila waweza kupata somo kubwa na hilo somo likakusiadia wewe kutopita katika changamoto kama hiyo.
Note:- Usually when things are darkest, light it is on its way