Once a HARAMU always a HARAMU, no two ways about it.Samia na wengine wote wanaomhangaikia ili serikali yake na utawala wake uonekane kuwa halali ni muhimu waelewe hili: Kwamba hakuna njia yoyote inayoweza kugeuza Haramu na kuifanya Halali..
Tume za akina Chande na Lila hazina uwezo huo; na wala kuendelea kukandamiza wapinzani na kuwafungulia mashtaka ya ugaidi na uhaini hakuwezi kumpa uhalali wa kuitawala Tanzania.
Ataua na kuteka/kupoteza watu, lakini uharamu wa uongozi wake utabaki palepale.
Na mwisho wa siku, atakutana na ngumi ya waTanzania itakayompa haki yake.
Amejaribu kutumia ulaghai wote aliodhani anaweza kuwapumbaza waTanzania wasahau maovu aliyoyatenda, lakini yote yamegonga mwamba.
Pesa anayotapanya kununua watu hakujamfanya watu hao wampende na kumtambua kuwa yeye si haramu.
Hadaa za "Maridhiano" ambayo alifikiri yatapunguza chuki kubwa kwake na utawala wake haramu hayataweza kuondoa chuki hiyo dhidi yake na wote wanaohusika naye katika uharamu wao.
huki inazidi kuongezeka na hofu ya kufurumushwa kama ilivyo kawaida kwa majambazi wote inazidi kupanda kila siku.
Na mbaya zaidi, hawajui ni sekunde, dakika, saa, siku au wiki gani watakutana na mkono wa chuma wa waTanzania. Maisha yao ynabaki ya kubahatisha tu! Ndiyo maana mashtaka ya ":Kutishwa Serikali" yamekuwa kama wimbo usiokoma vinywani mwao. Kutishika ni kweli wanatishika. Wanawaogopa wananchi ambao wangepashwa kushirikiana nao.
Kwa hiyo, ni bora tu Samia na Haramu wenzake wajue kwamba hakuna njia yoyote itakayowaondolea uharamu wao. Hata wakidumu kwa mwezi/miezi kadhaa au hata mwaka, uharamu wao upo palepale, na hatma yao ni ile ile iwahusuo haramu wote waharibifu.
completely nonsense mayhem 🐒Samia na wengine wote wanaomhangaikia ili serikali yake na utawala wake uonekane kuwa halali ni muhimu waelewe hili: Kwamba hakuna njia yoyote inayoweza kugeuza Haramu na kuifanya Halali..
Tume za akina Chande na Lila hazina uwezo huo; na wala kuendelea kukandamiza wapinzani na kuwafungulia mashtaka ya ugaidi na uhaini hakuwezi kumpa uhalali wa kuitawala Tanzania.
Ataua na kuteka/kupoteza watu, lakini uharamu wa uongozi wake utabaki palepale.
Na mwisho wa siku, atakutana na ngumi ya waTanzania itakayompa haki yake.
Amejaribu kutumia ulaghai wote aliodhani anaweza kuwapumbaza waTanzania wasahau maovu aliyoyatenda, lakini yote yamegonga mwamba.
Pesa anayotapanya kununua watu hakujamfanya watu hao wampende na kumtambua kuwa yeye si haramu.
Hadaa za "Maridhiano" ambayo alifikiri yatapunguza chuki kubwa kwake na utawala wake haramu hayataweza kuondoa chuki hiyo dhidi yake na wote wanaohusika naye katika uharamu wao.
huki inazidi kuongezeka na hofu ya kufurumushwa kama ilivyo kawaida kwa majambazi wote inazidi kupanda kila siku.
Na mbaya zaidi, hawajui ni sekunde, dakika, saa, siku au wiki gani watakutana na mkono wa chuma wa waTanzania. Maisha yao ynabaki ya kubahatisha tu! Ndiyo maana mashtaka ya ":Kutishwa Serikali" yamekuwa kama wimbo usiokoma vinywani mwao. Kutishika ni kweli wanatishika. Wanawaogopa wananchi ambao wangepashwa kushirikiana nao.
Kwa hiyo, ni bora tu Samia na Haramu wenzake wajue kwamba hakuna njia yoyote itakayowaondolea uharamu wao. Hata wakidumu kwa mwezi/miezi kadhaa au hata mwaka, uharamu wao upo palepale, na hatma yao ni ile ile iwahusuo haramu wote waharibifu.
Wewe hizo ndio kazi unazoziweza. Hukuonekana kwenye mtandao hadi baada ya upuuzi huo kumalizika!completely nonsense mayhem 🐒
Gentlema,Wewe hizo ndio kazi unazoziweza. Hukuonekana kwenye mtandao hadi baada ya upuuzi huo kumalizika!
Na hii ndiyo kazi unayojivunia kuwa ni fursa kubwa ya kukupa pato na kukuondoa kwenye kundi la maskini wa kutupwa, ambalo linazidi kupanda chini ya serikali haramu ya Samia mhalifu.
Na maisha yako yote yanategemea uchafu kama huu!Gentlema,
hakuna namna porojo, mihemko na makasiriko yako nonsense jukwaani inaweza kudhoofisha au kuathiri wajibu wa serikali sikivu ya ccm, chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan kutekeleza majukumu yake ya kikatiba na kuwaletea waTanzania maendeleo.
porojo na ramli zako useless labda ziwafariji wafuata mkumbo na wasusa uchaguzi wenzako tu
Gentleman,Na maisha yako yote yanategemea uchafu kama huu!
Samia ni mhalifu. Ni lazima awajibishwe kwa uhalifu aliowatendea waTanzania. Hakuna namna nyingine yoyote anayoweza kuepuka wajibu huo.
Vimaneno vyenu vya kipuuzi mnavyojaza humu havina msaada wowote kwake.
Hakuna mateso yoyote ninayopata wakati nikiona matumaini makubwa kwa taifa hili yanayokuja baada ya kuondoa takataka hizi zinazokufanya ushinde na kulala JF kila siku.Gentleman,
nadhani nawe utabaki kuteswa na mihemko na makasiriko yako nonsense jukwaani, and you can do nothing to those who have resiponsibilities of saving great people of united republic of Tanzania🐒
umesusa uchaguzi kwa hiyari yako na mateso ya kisaikolojia unayopitia ni athari za uamuzi wako huo useless.Hakuna mateso yoyote ninayopata wakati nikiona matumaini makubwa kwa taifa hili yanayokuja baada ya kuondoa takataka hizi zinazokufanya ushinde na kulala JF kila siku.
Samia ni mhalifu, jambo pekee linalomsubiri ni kuwajibishwa kwa uhalifu aliowafanyia waTanzania..
Hili halizuiliki.
Haramu na halali ziko za aina mbili,Samia na wengine wote wanaomhangaikia ili serikali yake na utawala wake uonekane kuwa halali ni muhimu waelewe hili: Kwamba hakuna njia yoyote inayoweza kugeuza Haramu na kuifanya Halali..
Kwa hiyo, ni bora tu Samia na Haramu wenzake wajue kwamba hakuna njia yoyote itakayowaondolea uharamu wao. Hata wakidumu kwa mwezi/miezi kadhaa au hata mwaka, uharamu wao upo palepale, na hatma yao ni ile ile iwahusuo haramu wote waharibifu.
Kwa maana hiyo, hata wewe uliyechinja ni "haramu"!Ama ukichinja nyama bila kuchinja Kiislamu, nyama hiyo inakuwa ni haramu kwa Waislamu, ila haramu hiyo iwe haramu ni lazima haramu hiyo iharimishwe, asipotokea mtu yeyote akasema hiyo nyama haijachinjwa Kiislamu, nyama hiyo japo ni haramu, inakuwa ni halali, kwasababu haijaharimishwa
enh hapo kwa wanandoa je mmoja akisema hakuna tendo la ndoa mwingine akakanusha tunafanyajeHaramu na halali ziko za aina mbili,
1. Haramu za kidini, kama mwanaharamu, ama nyama haramu, ili haramu za kidini ziwe haramu, ni lazima ziharimishwe, haramu isiyo harimishwa hugeuka halali.
Haramu nyingine ambayo ni haramu, inaweza kuhalalishwa na kugeuka halali.
Kula nyama ya nguruwe ni haramu kwa baadhi ya dini, ili nguruwe awe haramu, lazima mlaji ajue ni nguruwe, mlaji nyama akija kwako, ukamtengea nguruwe bila kumwambia hiyo nyama ni nguruwe, akila, inakuwa sio haramu.
Ama ukichinja nyama bila kuchinja Kiislamu, nyama hiyo inakuwa ni haramu kwa Waislamu, ila haramu hiyo iwe haramu ni lazima haramu hiyo iharimishwe, asipotokea mtu yeyote akasema hiyo nyama haijachinjwa Kiislamu, nyama hiyo japo ni haramu, inakuwa ni halali, kwasababu haijaharimishwa.
Hata mwanaharamu ni mtoto ambaye mimba yake imetungwa kwa zinaa, na akazaliwa nje ya ndoa. Uharamu wa mtoto huyo ni kwenye mimba ilivyotungwa, lakini ikitokea baada ya kutunga mimba ya mwana haramu, ukaamua kumuoa huyo mwanamke na mimba yake, mtoto akazaliwa ndani ya ndoa, mtoto huyo anakuwa ni mwana halali.
2. Uharamu na uhalali wa pili ni uharamu, na uhalali wa kisheria ambao unaitwa ubatili.
kwenye sheria kuna halali legal, ilegal, void, and voidable.
Tukianza kwenye ndoa, kuna ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu, sambamba na mikataba, kuna mikataba
halali, batili na batilifu.
Ili ndoa iwe ni ndoa halali, baada ya kufungwa, ndoa hiyo ni lazima iwe consummated!, (tendo la ndoa lifanyike)
ndoa yoyote ambayo tendo la ndoa halijafanyika ni ndoa batilifu mpaka tendo litakapofanyika. Ikitokea tendo
limeshindikana kabisa kufanyika, ndoa hiyo ni ndoa batili, ila hiyo ndoa iwe batili, ni lazima ibatilishwe!, batili yoyote isipobatilishwa inahesabika ni halali. Ili ndoa hiyo ibatilishwe ni lazima mmoja wa wanandoa hao atoe taarifa kunakohusika kuwa tendo limeshindikana!. Kwa vile tendo la ndoa ni faranga ya wanandoa husika, ikitokea hakuna mwana ndoa yeyote alitoa taarifa kuwa hakuna tendo, ndoa hiyo japo ni batili, inaendelea kuwa halali.
Kubaka ni kosa la jinai, ili kubaka liwe kosa, ukiondoa kwa the minors, aliyebakwa lazima akashitaki kuwa amebakwa!, mwanamke akibakwa, akaamua kuliko kushitaki na kupata aibu ya kubakwa, bora ajinyamazie, then kubakwa huko kunahesabika ni consensual, hivyo hakuna kosa la kubaka!.
Uhalali na Uharamu wa Serikali.
Nchi zinatawaliwa kihalali kwa mujibu wa sheria, zinaitwa serikali de jure, na nchi zinazotawaliwa kimabavu, zinaitwa serikali de facto, hivyo nchi zote ziwe the jure or the facto zote zinatambuliwa kama halali kimataifa.
Chaguzi Huru na za haki, na Chaguzi Haramu
Changuzi huru na za haki ni zile ambazo zimefuata misingi ya haki, hivyo matokeo ya chaguzi hizo ni matokeo halali na ya haki. Chaguzi ambazo zimegfanyika kwa ghilba, kwa hila, kwa bao la mkono, kwa rigging, ni chaguzi ambazo sio huru na za haki, ila baada ya kutangazwa mshindi, japo uchaguzi haukuwa huru na wa haki, baada ya kuapishwa uongozi huo unakuwa ni uangozi halali kisheria, japo sio halali kihaki.
Haramu ikiishabarikiwa inageuka ni halali!.
Hili soma nililifundisha humu PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!
Mzee Pasco
ndoa inaendeleaenh hapo kwa wanandoa je mmoja akisema hakuna tendo la ndoa mwingine akakanusha tunafanyaje
Huna lolote wewe!Haramu na halali ziko za aina mbili,

Wala siyo mbaliMjane na team yake wote ni wahuni na uhuni una mwisho
Wewe mwenye lolote, lilete hiloHuna lolote wewe!
Shika kinyeo chako na hili ndio lolote ulilolitakaWewe mwenye lolote, lilete hilo
lolote lako
P