bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hasa ukikumbuka UTI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ulitundikwa Mimba licha ya kuchuja utamu?condom ni takataka Itoshe kusema najuta kuzitumiaga
Hili ni la kweli kabisaTatizo sikuhizi mtu akishakuwa kwenye ndoa anajipa uwanja mpana wa kusex na yeyote Yule akijifichia kivuli cha ndoa
Ndo ivo mkuuHili ni la kweli kabisa
Ila UTI ya Sasa hivi Iko serious sana na kazi yake. Haipiti siku majibu ushayapataHasa ukikumbuka UTI
Ila UTI ya Sasa hivi Iko serious sana na kazi yake. Haipiti siku majibu ushayapata
Inabidi usiloweke hovyo mkuu!!Ndocs inataka moyo binafsi zimenishinda😂!
Peer -to- Peer connection ndio mpango mzima.
[emoji23]Kiukweli condoms nilivaa kujaribisha saizi tu. Sikumbuki tena nilivaaa lini?.
dah hii namba 3 usiombee ikukute,,baadae mawazo tuNiende moja kwa moja kwenye mada kengefu
Najua na nataka wote tukubaliane kwamba tuvae condom kwa usalama wetu na wale tunaowajali,
lakini kuna nyakatai, katika harakati zetu ovu za ngono, kitendo cha kuvaa condom kinaweza kuwa ni kigumu sana au hakiwezekaniki.
Mifano kengefu na potofu ni kama ifuatayo:
1. Kuna ule wakati unakutana na m-baby ambaye kakamilika idara zote alafu unapata ile imagination kwamba anaweza akawa na utamu wa kimataifa (hapa wengi wanauza roho);
2. Kuna ule wakati demu anatakiwa kuliwa kimasihara na ameshaenda kibra alafu condoms hauna na hazipatikani (hapa wengi tunauza mechi);
3. Kuna ule wakati uko kwenye game alafu condom inapasuka na unakaribia kilele cha mafanikio (hapa wengi tunatembelea rim mpaka mwisho);
4. Kuna ule wakati vyombo vimekwisha kaa mahali pake alafu unaamua tu kwa makusudi kuwaamini madakitari pori kwamba mafuta (vilainishi) yanasaidia kuzuia kama siyo kupunguza maambukizi;
5. Kuna ule wakati unapiga ramli kwa kuangalia sura na mwili na kukubali matokeo yoyote yajayo;
Kwa kweli mazingira ni mengi, tuendelee kutumia akili za juu wakati za chini zikiwa kazini
FactNiende moja kwa moja kwenye mada kengefu

FactAkili za nini wakati wa ngono, tunataka kukojoa tu siyo kufaulu mitihani
Kumbe una tabia mbaya eeenheeeUkimwi watapona wenye nguvu na mamlaka tu...mi sizipendi ila nikiwakumbuka wanangu namvisha mwenyewe