MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #61
Acha mzaha mkuuCondom ndo zinaleta ngoma amini hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mzaha mkuuCondom ndo zinaleta ngoma amini hivyo
Yeah namna hiyoYes,mimi kuna wakati nilikuwa na stock ya "Twanga Pepeta" za kutosha kwa ajili hiyo.
Hiyo no tatu kwakweli huwa siwezi kurudi nyuma kabisa yaani nikimaliza ndio majuto na wasiwasi.Niende moja kwa moja kwenye mada kengefu
Najua na nataka wote tukubaliane kwamba tuvae condom kwa usalama wetu na wale tunaowajali,
lakini kuna nyakatai, katika harakati zetu ovu za ngono, kitendo cha kuvaa condom kinaweza kuwa ni kigumu sana au hakiwezekaniki.
Mifano kengefu na potofu ni kama ifuatayo:
1. Kuna ule wakati unakutana na m-baby ambaye kakamilika idara zote alafu unapata ile imagination kwamba anaweza akawa na utamu wa kimataifa (hapa wengi wanauza roho);
2. Kuna ule wakati demu anatakiwa kuliwa kimasihara na ameshaenda kibra alafu condoms hauna na hazipatikani (hapa wengi tunauza mechi);
3. Kuna ule wakati uko kwenye game alafu condom inapasuka na unakaribia kilele cha mafanikio (hapa wengi tunatembelea rim mpaka mwisho);
4. Kuna ule wakati vyombo vimekwisha kaa mahali pake alafu unaamua tu kwa makusudi kuwaamini madakitari pori kwamba mafuta (vilainishi) yanasaidia kuzuia kama siyo kupunguza maambukizi;
5. Kuna ule wakati unapiga ramli kwa kuangalia sura na mwili na kukubali matokeo yoyote yajayo;
Kwa kweli mazingira ni mengi, tuendelee kutumia akili za juu wakati za chini zikiwa kazini
Watoto wa mjini wanasema unakufa kiumeHiyo no tatu kwakweli huwa siwezi kurudi nyuma kabisa yaani nikimaliza ndio majuto na wasiwasi.
Miaka yangu yoote silaa ni olive oil tu na niko powaAcha mzaha mkuu
Aah wapi zoote tena bora hata hizi za buku buku hizo za bei ndio zimeniharibikia sana.
Mkuu achana na matabibu pori na motivation speakersMiaka yangu yoote silaa ni olive oil tu na niko powa
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu, tuombe mzungu agundue dawa upesiNa huo ndo Wakati ,WATU WANAUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA TAIFA.
Ukimwi watapona wenye nguvu na mamlaka tu...mi sizipendi ila nikiwakumbuka wanangu namvisha mwenyewe
Ukimwi watapona wenye nguvu na mamlaka tu...mi sizipendi ila nikiwakumbuka wanangu namvisha mwenyewe
Na mpenz wangu tu,ila kuaminiana sana kunaponza....na takwimu zinasema wana ndoa wengi ndiyo waathirika wa Ukimwi mkuuPiga show na baba watoto wako tu kipenz,
UtavunaNanunua kabsa na kandomu ila nikijaga kushtuka game nishauza na imeisha condom zinabaki vilevile sielew nina pepo gani
Inafikirisha sana mkuuNa mpenz wangu tu,ila kuaminiana sana kunaponza....na takwimu zinasema wana ndoa wengi ndiyo waathirika wa Ukimwi mkuu
Wazungu hawakuwa innovative, kungekuwa na condom ya kumeza, una meza kwanzaNanunua kabsa na kandomu ila nikijaga kushtuka game nishauza na imeisha condom zinabaki vilevile sielew nina pepo gani
Huu ni ule wakati mgumu zaidi, pisi kali inapokua agent wa malaika mtoa roho6. Kuna ule wakati pisi kali yenyewe inataka uile kavu