Kuna nyakati kuvaa condom ni kitendo kigumu sana au hakiwezekani kabisa

Kuna nyakati kuvaa condom ni kitendo kigumu sana au hakiwezekani kabisa

Kwanini tunapenda sana utumwa kisa mapenzi, wewe unajua kabisa saahz sasa nandindisha si uowe mnapima kwanza na kuoana, inakua nyama kwa nyama, kama bado hujaoa si unapinga punyeto tu, nayo njia ya kumaliza ny*ng*, kuliko kutoa pesa na kununua magonjwa, acheni tamaa ya utumwa wa ngono, na ukimwi mtaukwaa sana.
 
Huwa najiuliza huyu my hubby mbona hawezi kutumia kondom sijui akichepuka inakuwaje,Mungu nihurumie mimi
 
Back
Top Bottom