Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi

Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi

Joined
Jul 6, 2024
Posts
97
Reaction score
72
Maandiko yatuongoze

Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi. Ni Bora kutumia muda wetu kusoma na kuelewa mifumo ya chama ili tuwe na uwezo wa kusema na kuhoji.

Tusiposoma tukasifu sifu tu tutaendelea kuumia huku wenzetu wakila Bata na kuandaa maisha ya vizazi vyao vya kesho kwa kutumia usingizi wetu wa Jamii ya Samaki pono kutunyonya na kutu kefya kefya
 
Maandiko yatuongoze

Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi
Ni Bora kutumia muda wetu kusoma na kuelewa mifumo ya chama ili tuwe na uwezo wa kusema na kuhoji.

Tusiposoma tukasifu sifu tu tutaendelea kuumia huku wenzetu wakila Bata na kuandaa maisha ya vizazi vyao vya kesho kwa kutumia usingizi wetu wa Jamii ya Samaki pono kutunyonya na kutu kefya kefya
Bora wewe kijana unayatambua hata,kina Mwashambwa kazi kusifu hata pasiposifika mradi tuu ni mwana SM mwanzake!
 
Back
Top Bottom