DOKEZO Kuna nyumba imegeuzwa kiwanda bubu cha pombe kali Kibaha Mailimoja

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali

Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia

Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺

Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂

FB_IMG_1786023088592.jpg
 
View attachment 3644426
Hatari sana aisee ,mbona umejificha sasa wewe bwana msiri ?
 
Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali

Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia

Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺

Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂

View attachment 3644426
Kiko picha ya ndege nadhani
 
Hospitali zimezidiwa na wagonjwa wa dialysis kutokana na Pombe hizi za kwenye vichupa pamoja na energy drink badala ya kuzuia takataka hizo nchini tunanunua mashine za dialysis. Ndugu yako akishaanza kunywa hivyo vipombe vya vichupa ujue umeshampoteza kwani addiction yake ni ukichaa kabisa na mwili kwa nje unaonyesha jinsi ndani kulivyoharibika
 
Ila hao jamaa wana ujasiri mkubwa sana kufanya uhalifu mtaa mmoja na regional boss.
Mh kaka vidole haviringani
Hii taarifa ina juma moja nyuma toka itolewe ila leo toka saa nne asubuhi wasiri wapya ndiyo wanaanza kuvujisha hizi habari na mwingine ndiyo huyu usiku huu anatoa hizi taarifa ,wewe unahisi nini ?

Nyoka hakai shimo moja na panya mkuu
 
Inaonekana wamedhurumiana mtonyo, sasa hivi ndiyo payback time kupitia kuvujisha siri!
 
Mh kaka vidole haviringani
Hii taarifa ina juma moja nyuma toka itolewe ila leo toka saa nne asubuhi wasiri wapya ndiyo wanaanza kuvujisha hizi habari na mwingine ndiyo huyu usiku huu anatoa hizi taarifa ,wewe unahisi nini ?

Nyoka hakai shimo moja na panya mkuu
Hii taarifa ilishatolewa wiki moja nyuma?
 
Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali

Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia

Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺

Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂

View attachment 3644426
Majina ya hizi pombe
1. Fire
2. Double kick
3. Strong
4. Booster
5. Bullet
6.Kisungura
🤣🤣🤣
 
Hospitali zimezidiwa na wagonjwa wa dialysis kutokana na Pombe hizi za kwenye vichupa pamoja na energy drink badala ya kuzuia takataka hizo nchini tunanunua mashine za dialysis. Ndugu yako akishaanza kunywa hivyo vipombe vya vichupa ujue umeshampoteza kwani addiction yake ni ukichaa kabisa na mwili kwa nje unaonyesha jinsi ndani kulivyoharibika
Mkuu hii taarifa yako umeota wapi? Maladhi ya figo hayatokani na pombe
 
Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali

Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia

Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺

Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂

View attachment 3644426
Nyumba Yenyewe hii yapa, ukiona utahisi ni Nyumba ya Familia lakn Shughuli zote zinafanyika humo
Eneo Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Jirani au Karibu na Nyumba ya Mkuu wa mkoa (Ukifika hapo ulizia Kwa Mama Ridhwani ambapo utaiona Nyumba pembeni yake).
Shughuli zote zinafanyika Usiku tu @polisi.tanzania
Cc: Mshana Jr
Video: 2.3K views · 20 reactions | Nyumba Yenyewe hii yapa, ukiona utahisi ni Nyumba ya Familia lakn Shughuli zote zinafanyika humo Eneo Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Jirani au Karibu na Nyumba ya Mkuu wa mkoa ( Ukifika hapo ulizia Kwa Mama liziwani ambapo utaiyona Nyumba pembeni Yake Shughuli zote zinafanyika Usiku Tuu @polisi.tanzania #updates #5starnewstz | 5star Newstz
 
Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali

Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia

Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺

Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂

View attachment 3644426
Ukiona kiwanda bubu mtaani kwenu fahamu kwamba kuna viongozi wanahusika hadi TISS wamo
 
Back
Top Bottom