Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Mradi hawafanyi ujambazi ni poa tuu!Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali
Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia
Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺
Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂
View attachment 3644426