A
Hatari sana aisee ,mbona umejificha sasa wewe bwana msiri ?Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali
Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia
Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺
Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂
View attachment 3644426
Kiko picha ya ndege nadhaniSina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali
Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia
Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺
Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂
View attachment 3644426
Braza tall kaona wabongo wamegeuza nchi yake taulo hazitaki risasi wala sijui usmart wala bwana mapawa almaarfy konyagi kwenye mitaa yake ,na huku msiri anaendelea kusigina wapambanajiWasiwasi wangu ni jina tu, Risasi Gin?
Ila hao jamaa wana ujasiri mkubwa sana kufanya uhalifu mtaa mmoja na regional boss.Braza tall kaona wabongo wamegeuza nchi yake taulo hazitaki risasi wala sijui usmart wala bwana mapawa almaarfy konyagi kwenye mitaa yake ,na huku msiri anaendelea kusigina wapambanaji
Mh kaka vidole haviringaniIla hao jamaa wana ujasiri mkubwa sana kufanya uhalifu mtaa mmoja na regional boss.
Inaonekana wamedhurumiana mtonyo, sasa hivi ndiyo payback time kupitia kuvujisha siri!Mh kaka vidole haviringani
Hii taarifa ina juma moja nyuma toka itolewe ila leo toka saa nne asubuhi wasiri wapya ndiyo wanaanza kuvujisha hizi habari na mwingine ndiyo huyu usiku huu anatoa hizi taarifa ,wewe unahisi nini ?
Nyoka hakai shimo moja na panya mkuu
Hii taarifa ilishatolewa wiki moja nyuma?Mh kaka vidole haviringani
Hii taarifa ina juma moja nyuma toka itolewe ila leo toka saa nne asubuhi wasiri wapya ndiyo wanaanza kuvujisha hizi habari na mwingine ndiyo huyu usiku huu anatoa hizi taarifa ,wewe unahisi nini ?
Nyoka hakai shimo moja na panya mkuu
Majina ya hizi pombeSina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali
Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia
Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺
Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂
View attachment 3644426
Mkuu hii taarifa yako umeota wapi? Maladhi ya figo hayatokani na pombeHospitali zimezidiwa na wagonjwa wa dialysis kutokana na Pombe hizi za kwenye vichupa pamoja na energy drink badala ya kuzuia takataka hizo nchini tunanunua mashine za dialysis. Ndugu yako akishaanza kunywa hivyo vipombe vya vichupa ujue umeshampoteza kwani addiction yake ni ukichaa kabisa na mwili kwa nje unaonyesha jinsi ndani kulivyoharibika
Nyumba Yenyewe hii yapa, ukiona utahisi ni Nyumba ya Familia lakn Shughuli zote zinafanyika humoSina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali
Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia
Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺
Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂
View attachment 3644426
wewe kweli bush doctorMkuu hii taarifa yako umeota wapi? Maladhi ya figo hayatokani na pombe
Ukiona kiwanda bubu mtaani kwenu fahamu kwamba kuna viongozi wanahusika hadi TISS wamoSina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali