Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Mradi hawafanyi ujambazi ni poa tuu!Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali
Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia
Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺
Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂
View attachment 3644426
Nikichosikitika inaonekana Rwanda umefanya tafiti zake vzr ndani kwao vinywaji vinakouzwa na Nje ya Nchi vinywaji vinakotoka na ubora wake,uhalali wa viwanda,wakaja na Jibu kupiga marufuku...Ukiona kiwanda bubu mtaani kwenu fahamu kwamba kuna viongozi wanahusika hadi TISS wamo
Duh ni kama unaenda MedwellNyumba Yenyewe hii yapa, ukiona utahisi ni Nyumba ya Familia lakn Shughuli zote zinafanyika humo
Eneo Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Jirani au Karibu na Nyumba ya Mkuu wa mkoa (Ukifika hapo ulizia Kwa Mama Ridhwani ambapo utaiona Nyumba pembeni yake).
Shughuli zote zinafanyika Usiku tu @polisi.tanzania
Cc: Mshana Jr
Video: 2.3K views · 20 reactions | Nyumba Yenyewe hii yapa, ukiona utahisi ni Nyumba ya Familia lakn Shughuli zote zinafanyika humo Eneo Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Jirani au Karibu na Nyumba ya Mkuu wa mkoa ( Ukifika hapo ulizia Kwa Mama liziwani ambapo utaiyona Nyumba pembeni Yake Shughuli zote zinafanyika Usiku Tuu @polisi.tanzania #updates #5starnewstz | 5star Newstz
7 highlifeMajina ya hizi pombe
1. Fire
2. Double kick
3. Strong
4. Booster
5. Bullet
6.Kisungura
🤣🤣🤣
Sahihi wachina wanafanya sana hizo mambo na kuna watu wanawalinda.Ukiona kiwanda bubu mtaani kwenu fahamu kwamba kuna viongozi wanahusika hadi TISS wamo
CCM haijui kufuata tafiti za ki taalamu , wao wanafuata matamanio ya nafsi zao, na Ndio maana wanatumia nguvu nyingi kwenye kila jambo wanalofanya.Nikichosikitika inaonekana Rwanda umefanya tafiti zake vzr ndani kwao vinywaji vinakouzwa na Nje ya Nchi vinywaji vinakotoka na ubora wake,uhalali wa viwanda,wakaja na Jibu kupiga marufuku...
🤣🤣Hiyo namba 10 nikajua ni Ambulance7 highlife
8 robot
9jobo
10 ambiance
11 Shujaa
12 shimha
😂😂😂😂🤣🤣 ni ambiance mkuu zinateketeza vijana huku mtaani🤣🤣Hiyo namba 10 nikajua ni Ambulance
Acha wajimalize maisha yenyewe hata hayana maana😂😂😂😂🤣🤣 ni ambiance mkuu zinateketeza vijana huku mtaani
Halafu haya majina huwa wanatumia hao hao walevi kuyatoa? Kobe gin,yobo😂😂😂😂🤣🤣 ni ambiance mkuu zinateketeza vijana huku mtaani
Hahaha Wana Majina Yao yakushangazaHalafu haya majina huwa wanatumia hao hao walevi kuyatoa? Kobe gin,yobo
Ya kilevi leviHahaha Wana Majina Yao yakushangaza
Lakini wanajimaliza kwa maumivuAcha wajimalize maisha yenyewe hata hayana maana
Ni wivu, roho mbaya au uchawi? I ain't sure where to place you.Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali
Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba Ilipangishwa kwa Mkazi mmoja ana familia but baada ya kuondoka ndio hao watengeneza Pombe wamehamia
Na hapo Kazi zao ni Usiku Tuu wanafanya 🤔🥺
Iyo Nyumba ipo Kibaha Mailimoja Maeneo au Mitaa ya Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa. MKACHUNGUZE ... 🙂
View attachment 3644426
Hospitali zimezidiwa na wagonjwa wa dialysis kutokana na Pombe hizi za kwenye vichupa pamoja na energy drink badala ya kuzuia takataka hizo nchini tunanunua mashine za dialysis. Ndugu yako akishaanza kunywa hivyo vipombe vya vichupa ujue umeshampoteza kwani addiction yake ni ukichaa kabisa na mwili kwa nje unaonyesha jinsi ndani kulivyoharibika
Siku hizi kuna vibali vya kutengenezea pombe kali nyumbani?Ubinadamu kazi kweli kweli
Sasa kwani kuna shida kama wanavibali?