magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Nenda kaongee soko la Magomeni mkuu upate huduma.Kingereza ni mojawapo ya lugha za taifa la Tanzania, wewe ndiye hujui.
Angalia uhalisia kwanza kabla ya unachokiona kwenye makaratasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaongee soko la Magomeni mkuu upate huduma.Kingereza ni mojawapo ya lugha za taifa la Tanzania, wewe ndiye hujui.
Hilo sio suala la msingi, hakuna tatizo kama mtu ambaye Kingereza hakikuwa lugha yake ya kufundishia kutojua Kingereza, ni tatizo kutofahamu Kingereza kama kilikuwa kinatumika kama lugha yako ya kufundishia tena kwa miaka 4, 6 au zaidi na pia kama Kingereza kinatumika katika shughuli rasmi za serikali kama mahakamani.
Ni lugha kama kichina, kiarabu, kihindi, kijapan, n.kSio kweli, Kingereza ni lugha ya kimataifa.
Kasumba tulizojiwekea tu hizi.China hawahitaji sana English lakini wewe Mswahili unahitaji sana English.
Mkuu kwa Kiingereza cha darasani kutoboa ni ngumu. Ndio maaana kwenye level za lugha kuna beginner, intermediate, professional, fluent/ native kwa sababu Kiingereza cha kujifunzia fani yako ni tofauti na cha mawasiliano ya kila siku.Kuna namna fulani mleta uzi ana hoja ila kashindwa tu kuiwasilisha. Hebu fikiria hiyo ofisi pengine ina mhasibu au HR au hata wafanyakazi wa taaluma fulani fulani kama mtaalamu wa mambo ya maendeleo ya jamii kama ni NGO, kuna waalimu kama ni shule, kuna mkandarasi kama ni kampuni ya ujenzi.
Sasa swali ni hawa watu waliwezaje kufanikiwa kimasomo ikiwa kiingereza wasichokifahamu vyema ndio lugha yetu ya kufundishia?
Kwa mtanzania yoyote mwenye elimu ya kuanzia diploma tunategemea afahamu vyema lugha ya kiingereza sababu ndio lugha aliyofunzwa nayo shuleni.
Ni kweli kiingereza sio kipimo cha akili ila kwa mfumo wetu wa elimu ni moja ya vipimo muhimu.
Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
shuleni tunafundishwa kujibu maswali kwa kutumia kingereza ila tunafundishwa kwa kiswahili mwalimu anaandika notes kwa english ila atazitafsiri kwa kiswahili labda uwe hujasoma kayumbaNilichokuja kubaini kwenye swala la lugha tusijilinganishe na mataifa kama China, Russia hawa watu wanatumia lugha zao mashuleni, Sisi watanzania tunatumia kiingereza sekondari na chuo so miaka yote hyo haiwezekan usiongee hyo lugha
ni kweliChina hawahitaji sana English lakini wewe Mswahili unahitaji sana English.
Hakuna kibaka anayeweza kuvamia ofisi wasiyojua kuongea kingereza ,wewe itaje tuNaomba nisiitaje kwa sababu za kiusalama.
Sioni kama kuna ulazima wa mimi kuongea kingereza nikiwa nchini kwanguHii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Macron ni specific tunaangalia majority.Sasa nikuambie kuna nchi kama Italy,Ureno,Ufaransa,Ujerumani,Udachi wanakidharau sana kingereza na hii inatokana na historia katika vita walivyopigana zamani.Uongo, hizo nchi zote raia akisoma Kingereza lazima akijue vizuri sana.
Macron anaongea Kingereza kizuri.
Sina tatizo kama tutaamua kukidharau Kingereza na kutumia Kiswahili kufundishia sekondari na vyuo, hapo watu wasipojua Kingereza au kukitumia itakuwa sawa. Tatizo ni kwamba Kingereza kinatumika kama lugha ya kufundishia kwa miaka zaidi ya minne halafu bado watu hawajui Kingereza cha kujielezea hata kwa dakika tano tu.Macron ni specific tunaangalia majority.Sasa nikuambie kuna nchi kama Italy,Ureno,Ufaransa,Ujerumani,Udachi wanakidharau sana kingereza na hii inatokana na historia katika vita walivyopigana zamani.
Mara nyingi mtu akiwa kiongozi anajitahidi kujua kingereza sababu hawa jamaa wametawala sehemu kubwa ya dunia.
Sasa pia shangaa Kagame anaongea kingereza kizuri mno,anajua kiswahili vizuri mno na kifaransa pia anakijua.Ujuzi wa lugha pia ni kipaji kuna sehemu kwenye ubongo ina master language kwa watoto wadogo inafanya kazi vizuri sana.
Ungekwenda nao china ukawatafsirie wao hawana shida na kingereza chako wanapiga maendeleo tu...Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Hata nyani ngabu akitema yai sijawahi muona huyu mwamba hata aki~comment....Mtoa mada sijakuona kwenye ule Uzi wa kiingereza, hii ndo kusema kuwa wewe mwenyewe uko unga kwenye hiyo lugha lakini ndo hivyo nyani haoni uwekundu wa mkundu wake lakini ni mkali wa kusema mikundu ya nyani wengine.
Tafadhali 🙏 badili mtazamo.
hapo umenena sasa wewe unasema kingereza miaka minne? hata waliofika chuo kikuu kama mimi hatujui kingereza.Mkuu wetu wa nchi tu Jiwe kilimpa tabu sana vile alisoma sayansiSina tatizo kama tutaamua kukidharau Kingereza na kutumia Kiswahili kufundishia sekondari na vyuo, hapo watu wasipojua Kingereza au kukitumia itakuwa sawa. Tatizo ni kwamba Kingereza kinatumika kama lugha ya kufundishia kwa miaka zaidi ya minne halafu bado watu hawajui Kingereza cha kujielezea hata kwa dakika tano tu.