enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Acha utumwa wa kifikra, ulivyo mshamba unashangaa mtanzania kutokujua kiingereza ila hushangai wageni wako kutokujua kiswahili!Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri