Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Dawa ya huu ugonjwa ni kukata funding completely, the more you fund it, the more it prevails…
Huwezi kukata fund , you may think it is for benefit ya nchi zetu but not
Hata wao wana benefit,wanapokupa fund wanakupa na predefined conditions za kununua hizo dawa from WHO prequalified Pharmaceutical manufacturers…. And wanafanya audit kuhakikisha the fund is circulating within their own system , there is no free lunch !
Dawa mnazotumia TZ Ni regimen za zaman sana. Zipo Dawa za HIV ambazo zinatumia nanotechnology, release yake ni slow over time , unameza one tablet for HIV, you stay 6 months ndio unameza cha pili for the next 6 months …… kwa American na EU, HIV is no longer an issue
Huko kwenu kwa Kalumanzila bado mnatumia zile ART za 30 tables for every month with lots of combination based on CD4 level , zinaua snaa figo na ku risk obesity
TZ is still a very poor country msidanganyaje , hakuna any development. I can appreciate Kagame kidogo na Kenya
TZ is very poor county’s kuanzia kwenye health setting system pamoja na infrastructure.Nchi nyingi hata mambo ya ujenz wa barabara hukuti hayo mambo yamefanyika miaka hiyo, kwa sasa ukiingia TZ Utasema uhuru umepatikana jana
I wonder viongozi hawaonagi aibu kuwapitisha wakuu wa nchi nyingine kwenye mabarabara ya hapo Dar , wakat wao wakienda kama Korea huko nchi za kawaida tu , njian ni kapeti tu miji misafi, mipangilio ya miji, huwa najiulizaga sana wanakuwaga na ukauzu gani kupitisha wakuu wengine kwenye hayo mabarabara ya ufisadi, au ndio
Wanajizima data ? Shame
No way