Kuna pombe Serena Hotel inauzwa Millioni 15

Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?

Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele [emoji23][emoji23][emoji23] Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?

Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba [emoji848] au na nyie hizi bei ni zakawaida sana

View attachment 2175910
Pombe yenyewe ya serena iko wapi? Maana umetuwekea chupa tupu ya dukani kwa mangi
 
Serena ni lodge kwani hadi ushangae bei ya kinywaji hicho kilakitu Dola hapo unakuja kuja na mashilingi yako
 
.
images.jpg

Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
 
Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?

Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele [emoji23][emoji23][emoji23] Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?

Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba [emoji848] au na nyie hizi bei ni zakawaida sana

View attachment 2175910
Zina wenyewe wewe endelea na ulanzi
 
Aisee kumbe sisi wa Hennessy X.O hatupo mahali ahsante kwa taarifa.
 
Hio Barua ya kihaya,, mpemba itakuvuruga tu
 
Back
Top Bottom