NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
Kabla ya vita soda ilikuwa 3m ...Nafikiri sasa hivi wakati wa vita ni around 7mKwani soda pale Serena bei gani? Tuanzie hapa kama reference.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya vita soda ilikuwa 3m ...Nafikiri sasa hivi wakati wa vita ni around 7mKwani soda pale Serena bei gani? Tuanzie hapa kama reference.
ingekuwa hivo huyo mwenye kaduka hako asingeiweka hapoinawezekana kabisa
Nabii uko mwilini zaidiHii chai ina tangawiz yakutosha
Milioni mbiliKwani soda pale Serena bei gani? Tuanzie hapa kama reference.
Pombe yenyewe ya serena iko wapi? Maana umetuwekea chupa tupu ya dukani kwa mangiJe kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?
Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele [emoji23][emoji23][emoji23] Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?
Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba [emoji848] au na nyie hizi bei ni zakawaida sana
View attachment 2175910
Ulikunywa soda ipi mkuu mimi Pepsi baridiii nlikunywa kwa 70kMilioni mbili
Kwani hujawahi enda Hotel hapa bongo soda inauzwa 80k .... na hakuna garama za importationHuko ulaya inauzwa paundi 270 ni km laki 8 na kitu kwa lita 3. So uki import bongo ina maana inafika milioni na kitu....
View attachment 2176682
AkiliiAkili mtu wangu
Soda 80k kaka.Kwani hujawahi enda Hotel hapa bongo soda inauzwa 80k .... na hakuna garama za importation
Ngoja waje kukupa mwongozo .... zipo boss tena hata zaidi ya hiyoSoda 80k kaka.
Hapana.
Ikiuzwa buku tu huwa roho inaniuma.
Mbona hii ya kawaida sana..Hata Seacliff huenda wakawa na bei ya juu kwa baadhi ya vitu!
Hiyo hiyo unayoijua wewe tena akikumiminia kwenye glass ndo bei hiyo akiacha na chupa mezani bei inaongezeka! hahah tembea uone!Samahani soda ipi hyo 80,000?
Zina wenyewe wewe endelea na ulanziJe kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?
Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele [emoji23][emoji23][emoji23] Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?
Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba [emoji848] au na nyie hizi bei ni zakawaida sana
View attachment 2175910
Wanasema eti ni kwa sababu ni ya baridiUlikunywa soda ipi mkuu mimi Pepsi baridiii nlikunywa kwa 70k