Kuna pombe Serena Hotel inauzwa Millioni 15

Kuna pombe Serena Hotel inauzwa Millioni 15

ila watu mnajua kutishana kwenye haya maisha mbona pale vtu bei ya kawaida kabsa Local bia n 5000 mshikak mmoja 5000 chps kavu 10000 uyo aliekula ad kuacha bond gar alkula mamba au
 
Here’s a quick recap of the 20 most expensive alcoholic drinks in the world (Google,2022):
  1. Billionaire Vodka – $3.7 Million
  2. Tequila Ley .925 – $3.5 Million
  3. Henri IV Dudognon Heritage Cognac Grande Champagne – $2 Million
  4. Russo-Baltique Vodka – $1.35 Million
  5. Diva Vodka – $1 Million
  6. Mendis Coconut Brandy VS – $1 Million
  7. Macallan 64 Year Old In Lalique – $625,000
  8. 1945 Romanee-Conti Wine – $558,000
  9. Armand de Brignac Midas – $265,000
  10. Dalmore 62 – $215,000
  11. The Sapphire Revelation By Bombay – $200,000
  12. Penfold Ampoule – $170,000
  13. The Black Pearl Louis XIII Anniversary Edition By Remy Martin – $165,000
  14. Diamond Jubilee By Johnnie Walker – $165,000
  15. Chateau D’Yquem – $130,000
  16. The Ruby Rose Cocktail – $40,000
  17. Legacy By Angostura – $25,000
  18. The Diamond Is Forever Martini – $18,000
  19. The Winston Cocktail – $12,790 per glass
  20. Salvatore’s Legacy – $8,316
mimi ndio nitakuwa sijakuelewa au mtoa mada ndio umechemk? hiyo $3.7 milion unamaanisha nini?

sawa na bilioni zaid ya saba za tz au ndio tsh milion 3.7?
 
Kwahiyo kwa bei hiyo maanake ukinywa hulewi au unalewa sana...?
 
Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?

Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele [emoji23][emoji23][emoji23] Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?

Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba [emoji848] au na nyie hizi bei ni zakawaida sana

View attachment 2175910
Limekaa kama fuvu la wasukuma
 
Iyo ni Tsh 15000/= asikutishe
 
Back
Top Bottom