Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ndio nitakuwa sijakuelewa au mtoa mada ndio umechemk? hiyo $3.7 milion unamaanisha nini?Here’s a quick recap of the 20 most expensive alcoholic drinks in the world (Google,2022):
- Billionaire Vodka – $3.7 Million
- Tequila Ley .925 – $3.5 Million
- Henri IV Dudognon Heritage Cognac Grande Champagne – $2 Million
- Russo-Baltique Vodka – $1.35 Million
- Diva Vodka – $1 Million
- Mendis Coconut Brandy VS – $1 Million
- Macallan 64 Year Old In Lalique – $625,000
- 1945 Romanee-Conti Wine – $558,000
- Armand de Brignac Midas – $265,000
- Dalmore 62 – $215,000
- The Sapphire Revelation By Bombay – $200,000
- Penfold Ampoule – $170,000
- The Black Pearl Louis XIII Anniversary Edition By Remy Martin – $165,000
- Diamond Jubilee By Johnnie Walker – $165,000
- Chateau D’Yquem – $130,000
- The Ruby Rose Cocktail – $40,000
- Legacy By Angostura – $25,000
- The Diamond Is Forever Martini – $18,000
- The Winston Cocktail – $12,790 per glass
- Salvatore’s Legacy – $8,316
Sio Yusuf Kamba ni Matthew Mwaikambo a.k.a Kambosonickamba
Limekaa kama fuvu la wasukumaJe kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?
Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele [emoji23][emoji23][emoji23] Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?
Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba [emoji848] au na nyie hizi bei ni zakawaida sana
View attachment 2175910
Iyo ni Tsh 15000/= asikutisheJe kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?
Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele [emoji23][emoji23][emoji23] Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?
Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba [emoji848] au na nyie hizi bei ni zakawaida sana
View attachment 2175910