Kuna pombe zinaitwa faru au banana chupa yake ni kijani ukibandua sticker ni Heineken

Kuna pombe zinaitwa faru au banana chupa yake ni kijani ukibandua sticker ni Heineken

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Wakuu Amani iwe nanyi?

Kuna swala lipo kidogo linachanganya yani ipo hivi pande flani ninapokaa mimi kwa pembeni kuna flame ya kuunza pombe niseme ni ya kienyeji maana wanatengenezea ndizi mbivu.

Ila shida ya hizi pombe kwanza kachupa kamoja ni sh 500, pia zile chupa zake muda mwingine sizielewi hizi chupa ni za kijani zote ila ukitoa pale kwenye sticker unakutana na Heineken unabaki unaduwaa, na pale pale ambapo ipo Heineken ndo imewekwa hiyo sticker najua wanapaficha pale pasionekane kama chupa ni ya Heineken,

Basi hizo pombe bwana kama sio gongo ni bahati nilijaribu kunywa kamoja naona ni katamu nikajaribu ka pili na tatu, ewaaa nikasema mnasema hizi ni pombe mbona ata silewi, kumbe zile uwa zinachanganyia taratibu nimekaa baadaye naona hali mbaya nikajua tayari ikanibidi nikalale tu, ila nilishaziacha watu walikuwa wanasema nakunywa gongo au mabuju, maana nilikuwa nikikusogelea natoa harufu hiyo kinywani, sasa nauliza swali huyo mwenye hicho kiwanda hizo chupa huwa anaokota ama maana zina tbc kwenye sticker zake,
 
Kwahyo hujui unaongelea ipi kati ya banana na faru
Sema heading na body ni tatizo
Kwenye picha ya sticker kuna faru na ndizi mbivu ila jina lake kamili ni faru ila sie tumezoea kuita 🍌
 
Chupa za henken hua ni take away kwa hyo baada ya matumizi zinaatupwa na watengeneza banana wanaziokota kwenda kujaza banana nafikir kuna unafuu hapo.

Wanapaficha na kuweka lebo yao maana hyo sio henken ni banana usije jisifu umekunywa henken[emoji38]
 
Back
Top Bottom