PostGE2025 Kuna project inafanywa na CCM ili ACT - Wazalendo iongoze maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya.

Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu.

Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi hawawajibiki, wanafikiri tumesahau waliposema watashiriki uchaguzi, watalinda KURA na hakutakuwa na MAANDAMANO.

Juzi kuna mwandishi pandikizi kapangwa aseme anapendekeza ACT iongoze maridhiano.

Watanzania tushtuke, kama wanataka kuridhiana waridhiane wao, Chadema iendelee na operation yake ya Katiba Mpya na Free Tundu Lissu.
 
Stage ya kwanza ni Wasira kusema maridhiano ni ya hiyari hawatamlazimisha mtu wala chama.

Ili waaminike Zitto na chama chake waanze kuihoji tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi hawawajibiki, wanafikiri tumesahau waliposema watashiriki uchaguzi, watalinda KURA na hakutakuwa na MAANDAMANO.

Juzi kuna mwandishi pandikizi kapangwa aseme anapendekeza ACT iongoze maridhiano.

Watanzania tushtuke, kama wanataka kuridhiana waridhiane wao, Chadema iendelee na operation yake ya Katiba Mpya na Free Tundu Lissu.
Kabisa, cdm wasijichanganye kuingia kwenye maridhiano fake. Hao ACT iliyokuwa CUF zamani, waliingia maridhiano fake siku za nyuma huko Znz, lakini hakuna maridhiano yanafuatwa, kila ikifika uchaguzi wanaporwa kwa nguvu ya mtutu, halafu viongozi wanapewa vyeo.
 
Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya.

Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu.

Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa waanze kuihoji tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi hawawajibiki, wanafikiri tumesahau waliposema watashiriki uchaguzi, watalinda KURA na hakutakuwa na MAANDAMANO.

Juzi kuna mwandishi pandikizi kapangwa aseme anapendekeza ACT iongoze maridhiano.

Watanzania tushtuke, kama wanataka kuridhiana waridhiane wao, Chadema iendelee na operation yake ya Katiba Mpya na Free Tundu Lissu.
kwani ubaya upo wapi hapo gentleman?

maridhiano ya hiyari na kwa waTanzania wote waliotayari, nini mbaya waTanzania wa ACT wazalendo kuongoza hiyo maneno gentleman?🐒
 
Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya.

Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu.

Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi hawawajibiki, wanafikiri tumesahau waliposema watashiriki uchaguzi, watalinda KURA na hakutakuwa na MAANDAMANO.

Juzi kuna mwandishi pandikizi kapangwa aseme anapendekeza ACT iongoze maridhiano.

Watanzania tushtuke, kama wanataka kuridhiana waridhiane wao, Chadema iendelee na operation yake ya Katiba Mpya na Free Tundu Lissu.
Zitto et al wanajisumbua! ACT wanajulikana kuwa ni wasaliti. Ni VCM project, alisema Polepole ambaye alikuwa anarstibu mipango ya ACT kuvuruga mageuzi.
 
kwani ubaya upo wapi hapo gentleman?

maridhiano ya hiyari na kwa waTanzania wote waliotayari, nini mbaya waTanzania wa ACT wazalendo kuongoza hiyo maneno gentleman?🐒

ACT wanakubaliana kila kitu na CCM, sasa wanaenda kuridhiana kitu gani?

Wao hawana ugomvi na CCM wala hawana ugomvi na serikali

Chama ambacho hakikubaliani na serikali ndio kinatakiwa kufanya maridhiano na serikali
 
Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya.

Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu.

Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi hawawajibiki, wanafikiri tumesahau waliposema watashiriki uchaguzi, watalinda KURA na hakutakuwa na MAANDAMANO.

Juzi kuna mwandishi pandikizi kapangwa aseme anapendekeza ACT iongoze maridhiano.

Watanzania tushtuke, kama wanataka kuridhiana waridhiane wao, Chadema iendelee na operation yake ya Katiba Mpya na Free Tundu Lissu.
CCM na ACT Wazalendo wanahitaji maridhiano. ACT waliahidiwa viti vingi wangepewa ikiwamo Kigoma Mjini lakini ikawa tofauti. Yes hivi vyama viwili vinahitajji kiridhiana.
 
Maridhiano si ya lazima na chadomoghasia

Mbona chadomoghasia mnajipa umhimu sana na wakati bila nyie mambo yanaenda sawa tu.

Endeleeni kukaza mafuvu yenu, kwanza hamna madhara.
 
kwani ubaya upo wapi hapo gentleman?

maridhiano ya hiyari na kwa waTanzania wote waliotayari, nini mbaya waTanzania wa ACT wazalendo kuongoza hiyo maneno gentleman?🐒
CCM inaridhiana nini na ACT wakati wote walishiriki uchaguzi fake au ACT bado wanadai vile viti maalum walivyoahidiwa.
 
Wewe kapuku ndio unaona hakuna madhara lkn mama yenu huko ndani pa moto.
 
CCM inaridhiana nini na ACT wakati wote walishiriki uchaguzi fake au ACT bado wanadai vile viti maalum walivyoahidiwa.
maridhiano ya hiyari ya kitaifa sio baina ya vyama vya siasa gentleman, ni jamii nzima ya kiTanzania.

ni muhimu sana kuelewa hilo, na sio lazima wewe au mimi tuwepo bali waTanzania wengine wote 🐒
 
Jibu swali wanaenda kuridhiana nini maana sisi ndio wananchi.
 
IMG_20260518_130815.jpg
 
Jibu swali wanaenda kuridhiana nini maana sisi ndio wananchi.
ni jamii nzima ya kiTanzania ndio ina hiyari ya kitaifa ya kuridhiana na hatimae kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya wakiwa wamoja 🐒
 
kwani ubaya upo wapi hapo gentleman?

maridhiano ya hiyari na kwa waTanzania wote waliotayari, nini mbaya waTanzania wa ACT wazalendo kuongoza hiyo maneno gentleman?🐒
Screenshot_20260514-220943~2.png
 
Anaeweza muwamini Zitto na ACT ni watu wajinga wanaenda na Upepo wa Chadema maridhiano bila chadema ni upepo
 
Kabisa, cdm wasijichanganye kuingia kwenye maridhiano fake. Hao ACT iliyokuwa CUF zamani, waliingia maridhiano fake siku za nyuma huko Znz, lakini hakuna maridhiano yanafuatwa, kila ikifika uchaguzi wanaporwa kwa nguvu ya mtutu, halafu viongozi wanapewa vyeo.
Mbona serikali ya UMOJA nayo inayoyoma Zanzibar. Mimi naamini 4 R kama zingetekelezwa na Rais bila wahafidhina na wana mtandao wa CCM kuingilia na kumdhibiti mama angefaulu mno kuongoza nchi tena kwa furaha.
 
Back
Top Bottom