PostGE2025 Kuna project inafanywa na CCM ili ACT - Wazalendo iongoze maridhiano

PostGE2025 Kuna project inafanywa na CCM ili ACT - Wazalendo iongoze maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya.

Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu.

Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi hawawajibiki, wanafikiri tumesahau waliposema watashiriki uchaguzi, watalinda KURA na hakutakuwa na MAANDAMANO.

Juzi kuna mwandishi pandikizi kapangwa aseme anapendekeza ACT iongoze maridhiano.

Watanzania tushtuke, kama wanataka kuridhiana waridhiane wao, Chadema iendelee na operation yake ya Katiba Mpya na Free Tundu Lissu.
ACT Wanaongaze maridhiano kama nani wakati wao walishiriki uchaguzi na wakayapokea matokeo yake?
Maridhiano ni sharti yaongozwe na wawakilishi neutral, wenye uzoefu usiotia shaka!
ccm wasijidanganye kuwa wao ni wamiliki wa mchakato wa maridhiano!
 
Back
Top Bottom