Sukuma ndaniHawa wazungu watakuja kutumaliza siku moja. Sasa kampuni ya ulaya imeamua kuiba national anthem yetu. Saa hii Mkenya hawezi kupost national anthem kwa youtube. Ukipost Youtube wanakupea strike, wanasema eti huo wimbo tayari unamilikiwa na kampuni kutoka ulaya. #KOT. Hawa watu lazima tusukumane nao otherwise watatuibia kila kitu. Professional complainers a.k.a KOT tuanze kazi.
Ndo maana unaishi kwenye squatters!Sawa baba nimesikia
Haha. Lakini bahati yao mbaya. Wamechagua nchi wrong number. Sisi ni watu tunapenda makelele. Tutapiga kelele hadi dunia nzima ijue kwamba sisi sio watu wa kuchezewa. Afadhali wangechagua Tanzania, hao ni wapole kiasi.Unategemea nini ilhali huo ndio wimbo wa taifa bora Afrika, lazima wasingeuacha, pumbavu sana wale mabeberu, wamebeba gesi ya majirani na madini yote sasa wameelekeza pua kwetu.
Kumbe Tz ni wapole sasa kwanini mnalia lia kuchezewa foul kwenye biashara! si muonyeshe huo ukali wenu! Vifaranga tumechoma, ngombe tume taifisha, bidhaa zenu tumezizuia ila nyie mnalia tu. Sasa kuna wavuvi wenu tumewahifadhi sehemu salama, abda kama huo ukali wenu ni kwenye keyboards tu.Haha. Lakini bahati yao mbaya. Wamechagua nchi wrong number. Sisi ni watu tunapenda makelele. Tutapiga kelele hadi dunia nzima ijue kwamba sisi sio watu wa kuchezewa. Afadhali wangechagua Tanzania, hao ni wapole kiasi.
Kwani afrika kusini na Tanzania ni nchi IPI ilianza kupata UhuruIle ya tanzagiza walicopy ya south africa yani hawapo original.
[emoji848][emoji848][emoji848] Americans wanatutafuta sana these days. Mara Hakuna Matata,Safari,Dusit D2, sasa ni National Anthem??Hawa wazungu watakuja kutumaliza siku moja. Sasa kampuni ya ulaya imeamua kuiba national anthem yetu. Saa hii Mkenya hawezi kupost national anthem kwa youtube. Ukipost Youtube wanakupea strike, wanasema eti huo wimbo tayari unamilikiwa na kampuni kutoka ulaya. #KOT. Hawa watu lazima tusukumane nao otherwise watatuibia kila kitu. Professional complainers a.k.a KOT tuanze kazi.
Wanatamani lugha yetu ya Kiswahili yani hadi neno safari wameongeza kwa dictionary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu wimbo wa taifa wa Kenya waliusifia sana baada ya wanariadha wetu kuufanya usikike kote kote. Ila sikudhani wataupenda sana kiasi cha kutukosea heshima. Pumbavu zao, bila shaka watakiona cha moto kutoka kwa wakenya hivi karibuni.