Kuna Pumbavu flani amecopyright national anthem ya Kenya

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Hawa wazungu watakuja kutumaliza siku moja. Sasa kampuni ya ulaya imeamua kuiba national anthem yetu. Saa hii Mkenya hawezi kupost national anthem kwa youtube. Ukipost Youtube wanakupea strike, wanasema eti huo wimbo tayari unamilikiwa na kampuni kutoka ulaya. #KOT. Hawa watu lazima tusukumane nao otherwise watatuibia kila kitu. Professional complainers a.k.a KOT tuanze kazi.

Sukuma ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You guys are super bongolala. Eti nyimbo yenu ni number one in the Top ten national anthem, my foot.
 
Unategemea nini ilhali huo ndio wimbo wa taifa bora Afrika, lazima wasingeuacha, pumbavu sana wale mabeberu, wamebeba gesi ya majirani na madini yote sasa wameelekeza pua kwetu.

Haha. Lakini bahati yao mbaya. Wamechagua nchi wrong number. Sisi ni watu tunapenda makelele. Tutapiga kelele hadi dunia nzima ijue kwamba sisi sio watu wa kuchezewa. Afadhali wangechagua Tanzania, hao ni wapole kiasi.
 
Huu wimbo wa taifa wa Kenya waliusifia sana baada ya wanariadha wetu kuufanya usikike kote kote. Ila sikudhani wataupenda sana kiasi cha kutukosea heshima. Pumbavu zao, bila shaka watakiona cha moto kutoka kwa wakenya hivi karibuni.
 
Wakenya huu mwaka umewanzia vibaya..
Anonytun wamewakick out..
Facebook research out.
Alshabab hivo hivo.
National anthem daa.

Poleni,na kama hakuna hatimiliki ya hilo song ndio basi korotini wanapiga chini.

Na hii husababishwa na kukumbatia mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha. Lakini bahati yao mbaya. Wamechagua nchi wrong number. Sisi ni watu tunapenda makelele. Tutapiga kelele hadi dunia nzima ijue kwamba sisi sio watu wa kuchezewa. Afadhali wangechagua Tanzania, hao ni wapole kiasi.
Kumbe Tz ni wapole sasa kwanini mnalia lia kuchezewa foul kwenye biashara! si muonyeshe huo ukali wenu! Vifaranga tumechoma, ngombe tume taifisha, bidhaa zenu tumezizuia ila nyie mnalia tu. Sasa kuna wavuvi wenu tumewahifadhi sehemu salama, abda kama huo ukali wenu ni kwenye keyboards tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ya tanzagiza walicopy ya south africa yani hawapo original.
 
Hawa wazungu watakuja kutumaliza siku moja. Sasa kampuni ya ulaya imeamua kuiba national anthem yetu. Saa hii Mkenya hawezi kupost national anthem kwa youtube. Ukipost Youtube wanakupea strike, wanasema eti huo wimbo tayari unamilikiwa na kampuni kutoka ulaya. #KOT. Hawa watu lazima tusukumane nao otherwise watatuibia kila kitu. Professional complainers a.k.a KOT tuanze kazi.

[emoji848][emoji848][emoji848] Americans wanatutafuta sana these days. Mara Hakuna Matata,Safari,Dusit D2, sasa ni National Anthem??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu wimbo wa taifa wa Kenya waliusifia sana baada ya wanariadha wetu kuufanya usikike kote kote. Ila sikudhani wataupenda sana kiasi cha kutukosea heshima. Pumbavu zao, bila shaka watakiona cha moto kutoka kwa wakenya hivi karibuni.
Wanatamani lugha yetu ya Kiswahili yani hadi neno safari wameongeza kwa dictionary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom