Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hawa wazungu watakuja kutumaliza siku moja. Sasa kampuni ya ulaya imeamua kuiba national anthem yetu. Saa hii Mkenya hawezi kupost national anthem kwa youtube. Ukipost Youtube wanakupea strike, wanasema eti huo wimbo tayari unamilikiwa na kampuni kutoka ulaya. #KOT. Hawa watu lazima tusukumane nao otherwise watatuibia kila kitu. Professional complainers a.k.a KOT tuanze kazi.