Alola
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 476
- 299
Kwanini kuna baadhi ya wanaume hupenda kutoa bikra (siyo ya kichina) kwa wanawake/mabinti wakati siku ya hiyo shughuli huwa na usumbufu na kelele za maumivu wakati wa mchakato?
Je ni kweli mwanamke hawezi kumsahau mwanaume/mvulana aliyemtoa bikra?
Je ni kweli kuna uwezekano mkubwa kwa mwanaume huyo kupewa 'mechi ya kirafiki' hata kama mwanamke ameolewa?