Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Usinilishe maneno, nilichosema ni kuwa bikra ina heshima yake.
Aliyembikiri changu alijisikia nafuu kuliko anayemnunua leo akiwa kajipanga barabarani.
Aliyembikiri changu alijisikia nafuu kuliko anayemnunua leo akiwa kajipanga barabarani.
Mkuu, maybe you're still ascribing to that old notion kua innocence/loyalty/trustfulness comes along with virginity...
Kwani nani alisema kudrive X5 mpya inamaanisha hutopata ajali very soon, it depends on the driver on the seat...
Unaeza vuta mke uwanja wa fisi, and hv the best wife ever.