Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa.
Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili kupunguza changamoto za elimu kwa watoto wa kike.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza ziara mkoani Tanga Jumatatu ya February 23, 2025.
Em mpe marks huyo aliyeipiga hiyo achachechi…!